wapendwa............ kuna kamsemo kuwa "if it works, use it"
jana nilipost hapa kisa cha rafiki yangu mmoja aliyepitia maisha ya kuitwa "mtoto wa mitaani"........ nmeongea naye mambo mengi sana na kati ya aliyonieleza ni kuwa jitihada zote za kutafuta urafiki na wasichana hazikuzaa matunda hadi anapata kazi na kuwa na pesa za kuhonga ndio alionja "ladha" ya msichana kwa mara ya kwanza!
sasa ingia kwenye viatu vya huyu kaka halafu anagalia matokeo yake kisaikolojia........... halafu jiulize kama jamii itaundwa na watu wenye saikolojia kama hizi, itakuwa jamii ya aina gani?
ninaona kuwa tusiwalaumu sana wanaohonga kabla hatujahahkikisha kuwa na wale wanaoyadhibiti mapenzi "wanawake na wasichana" alwayz wanayatoa mapenzi for free. hata jamii yetu bado inaona mwanume bora ni yule mwenye hatua fulani ya maisha. htata hayo mapenzi tunayoyaita mapenzi kweli, mengi yasingejegwa kama mwanume angekuwa hohehahe kapuku. angalieni cases za kujichua miongoni mwa vijana masikini ni kubwa kiasi gani...........
hata ungekuwa wewe, ujichue ukiwa shuleni, leo uwe na uwezo wa fedha (hata kama ni kidogo) bado endelee ujichua?.......... hebu tuwe fair jamani, sometimes kuhonga ni muhimu kwa afya ya akili.
kama bado kuna misemo kama "hapendwi mtu........" sasa wale wasiopendwa waendelee kutamani kwa macho hadi lini? kama hela yake aliopata khalali inaeweza kumsaidia, kwa nini asiitumie?mnajua sex urge ikizidi mtu aweza hata ku-commit suicide?