Sio kdg dada. Nilimwambia ajibu hiyo msg amwambie kuwa yeye sio mpnz wake akagoma adi leo. Kwahiyo kuna uwezekano mkubwa analiwa na huyo jamaa
Unajua kuna watu hawapendi kuendeshwa? mmoja wapo mimi kama nina uhakika sihusiki na jambo ukiniforce kufanya aisee sifanyi sababu naona napoteza mda wangu tu, mfano tu hiyo kumjibu unataka amjibu nini? nakushauri hivi kwa vile una access na hiyo account yake mjibu wewe majibu ambayo unataka yeye ajibu alafu utaona muendelezo wake, ila kimsingi mi sioni kama hiyo ni sababu ya msingi, na kama kweli binamu yake labda anaona atasababisha mahusiano mabaya so vema kumpotezea tu, na pia kumtishia kuachana nae sio suluhu na kama hausiki nayo ndio zaidi umemtia hasira ndio maana anaona fanya vyovyote poa
Mh! ni vizuri kumpa justification ambayo itamfanya asichukue maamuzi ya kuvunja uhusiano lakini kwa hili mimi naweza Sema huyu binti kama hana kiburi basi anampenda binamu zaidi kuliko mkuu. Huwezi kuwa na confidence kama umekutwa na kosa,hata kama mdada hana uhusiano na binamu but the fact that imekutwa msg ya mapenzi tayari alitakiwa awe mpole na alinde uhusiano usivunjike kwa gharama zozote. Jamaa alifanya maamuzi sahihi kumwambia ajibu msg la sivyo waachane,binti kama kujibu msg aliona itaharibu uhusiano na binamu alitakiwa afanye utaratibu wa kuongea na binamu mbele ya mkuu na amwambie kuwa msg yake imehatarisha mahusiano,kitendo cha binti kupotezea na kutoonyesha kujali kinamaanisha mkuu hana chake hapo
Angalizo: Ukisikia binti anatamka neno cousin/binamu ili kukupa relief ujue imekula kwako.Wanapenda sana kutumia hiyo ya binamu kama justification.Mkuu chukua hamsini zako hapo,achana nae kabisa.
:A S 13::A S 13:......................:tape::tape::A S 465:
![]()
Unajua kuna watu hawapendi kuendeshwa? mmoja wapo mimi kama nina uhakika sihusiki na jambo ukiniforce kufanya aisee sifanyi sababu naona napoteza mda wangu tu, mfano tu hiyo kumjibu unataka amjibu nini? nakushauri hivi kwa vile una access na hiyo account yake mjibu wewe majibu ambayo unataka yeye ajibu alafu utaona muendelezo wake, ila kimsingi mi sioni kama hiyo ni sababu ya msingi, na kama kweli binamu yake labda anaona atasababisha mahusiano mabaya so vema kumpotezea tu, na pia kumtishia kuachana nae sio suluhu na kama hausiki nayo ndio zaidi umemtia hasira ndio maana anaona fanya vyovyote poa
Ni zaidi ya wiki moja tangu nilipokuta mpenzi wangu ameandikiwa meseji ya kimapenzi fb na mtu aliedai ni binam yake na dada ake akanitext kunieleza kuwa yule kweli ni binam yao.
Kinachonifanya nisiamini ni pale napomwambia amjibu ile meseji na anakataa. Kwa ufupi tuko mbali (mikoa tofauti) na siku kadhaa zimepita tangu tumekaushiana hatuwasiliani wala haombi msamaha.
Kwa sasa naona nichukue hatua ya mkatia mawasiliano na kumfuta kabisa maishani mwangu japo inaniumiza sana.
Lakini pia ukiona mpenzi wako hatetereki kuachana na wewe hata kama kweli hajakosea ila wewe uli misunderstand lakini hajishughulishi kutaka uelewe ili muweke mambo sawa, especially sisi wanawake jua hapo huna mpenzi na iko siku tu utamwagwa
Watu watakuambia kuwa labda unamfuatilia sana huyo mpenzio lakini sometimes vitu huja kwenye attention yako bila wewe kuvitafuta. Sometime trouble come knocking.
Kama dada anakupenda kweli na anajua keywords alizotumia binamu yake hujazikubali- trust me she'll change that. Mahusiano si mashindano hata kama hapendi kupelekwapelekwa saa nyingine unakubali as a compromise when u see the consequences of the issue(In ur case u r ready to leave her). Mahusiano yasiyo na compromise huvunjika.
Na haya ya kwako yanavunjika either kwa sababu wote mna misimamo mavi ama she's really cheating on u.
We sepa zako tu.
hyo msg kwani ilikuwa inasemaje? manake hata mimi nina mtoto wa shangazi yangu ambae ni binamu yangu msg zetu huwa hivi "niambie mpnz mbona kimya sana", au Nimekumis mpenzi lini waja dar na vitu kama hivyo, sasa ikitokea mume wangu akaona lazima atashtuka ila ukweli ni kwamba ni binamu tu ambae tulmekuwa wote, na tuko marafiki sana hakuna cha zaidi