Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,741
- 3,544
Nimeolewa ninakama miez 3 hv
bt Sina amani kabisa na haya maisha ya kindoa nayoishi
Cjui nimejikatia tamaa tu yan sielew
Mimi na huyu mme wangu kanizidi miaka 2 tu, lkn mtu akituangalia naonekana Kama Mimi mkubwa HV
Maana tayar ninamtoto wa mwanamme mwingine ye hana
Nachanganyikiwa sababu namuona hana amani na Mimi japo anajitahidi kuficha ila mi naelewa tu kimoyomoyo
Hata katika kutafuta nyumba anataka tuishi sehem haina mchanganyiko na watu,,, nyumba ya peke atu, tukiwa tunaenda sehem akikutana na mtu anaemfaham au wanafanya wote kazi anakosa Aman kabisa......
Leo kuna sherehe kazin kwao wameambiwa waende na familia zao nikamtania namimi naenda alikosa amani mpaka nikamuonea huruma nilivyomwambia mi siendi alichangamka baraa
Moyo unaniuma huyu tutazeeshaa kweli???
Kwanza hii inanijengea kutojiamini kabisa,,, kujichukia maana kimuonekano mwenzangu Ni mzur kunishinda Mimi
Mungu nisaidie tu
Naunga mkono yote ispokuwa kwenye mawigi na mamake up,huhitaji hivyo vitu kuwa mzuri na mwenye comfidence.Punguza weight kama unaona unene unakukosesha kuwa confident, kama unakata nywele kama wa dhehebu Fulani anza kusuka vizuri ata mawigi sukia,lol last kama sio mtu wa make up, anza kupaka make up,ukifanya hivi vyote ukapendeza itakupa confidence na kuwa na furaha ya moyo,ndio maana wanawake tuna vipodozi vingi ni sababu tuko sensitive on how we look mkuu
Kazi ya makeup ni kukufanya ujiamn kuliko kawaida, ujiamini kuliko uwezo wako au kiwango chako cha kujiamini, ujione keki wakati weww ni kitumbua.
Hata sielew tumejijuta tu katika hali ya kuishi pamoja
tuombe mungu isiwe chai hii... maana mmmh sio kwa kujinanga hukuMi sio mnene ninamwil kiasi tu...mi mrefu, maziwa makubwa kiac, tumbo kubwa miguu miembamba alafu Shep hamna....hua navaa nguo za vitenge gaun ndefu au sket ndefu Sasa mwenzangu anakeleka...leo kwenye sherehe kakagua nguo kasema leo unavaa yale magaun yako nikamwambia mi siendi ndio kapata aman
DuuhMi sio mnene ninamwil kiasi tu...mi mrefu, maziwa makubwa kiac, tumbo kubwa miguu miembamba alafu Shep hamna....hua navaa nguo za vitenge gaun ndefu au sket ndefu Sasa mwenzangu anakeleka...leo kwenye sherehe kakagua nguo kasema leo unavaa yale magaun yako nikamwambia mi siendi ndio kapata aman
Hilo jambo dogo sana!! SOLUTION:- ukitaka nae vaa baibui au Abaya na ujitande hijab !! Waoow !! Uta mpa Amani ... wish you good luck and loving life...!!Nimeolewa ninakama miez 3 hv
bt Sina amani kabisa na haya maisha ya kindoa nayoishi
Cjui nimejikatia tamaa tu yan sielew
Mimi na huyu mme wangu kanizidi miaka 2 tu, lkn mtu akituangalia naonekana Kama Mimi mkubwa HV
Maana tayar ninamtoto wa mwanamme mwingine ye hana
Nachanganyikiwa sababu namuona hana amani na Mimi japo anajitahidi kuficha ila mi naelewa tu kimoyomoyo
Hata katika kutafuta nyumba anataka tuishi sehem haina mchanganyiko na watu,,, nyumba ya peke atu, tukiwa tunaenda sehem akikutana na mtu anaemfaham au wanafanya wote kazi anakosa Aman kabisa......
Leo kuna sherehe kazin kwao wameambiwa waende na familia zao nikamtania namimi naenda alikosa amani mpaka nikamuonea huruma nilivyomwambia mi siendi alichangamka baraa
Moyo unaniuma huyu tutazeeshaa kweli???
Kwanza hii inanijengea kutojiamini kabisa,,, kujichukia maana kimuonekano mwenzangu Ni mzur kunishinda Mimi
Mungu nisaidie tu
Kwa muandiko huu ni wazi sasa kuna wanaume wana huruma sana..yaani hata wewe una mume?
Ama kweli vijana vitunguu swaumu vimewafanya mmekata tamaa..yaani una pita ukakuta mama pita nae anapita na mume baba pita
dah!Hilo jambo dogo sana!! SOLUTION:- ukitaka nae vaa baibui au Abaya na ujitande hijab !! Waoow !! Uta mpa Amani ... wish you good luck and loving life...!!
Mi nipo kawaida tu alafu kabla ya kuanza kuishi pamoja tulikua na mahusiano ya kimapenz mwaka mmoja na nusu..Muonekano wako kabla ya ndoa miezi mitatu ilopita kwani ulikuwa tofauti na sasa? Maana ndoa yenu naamini mliifunga mbele ya hadhira kubwa ukiwa na mwili huo huo ulionao sasa, miezi mitatu si mingi eti,iweje leo miezi mitatu tu baada ya ndoa asitake kuonekana nawe mbele za watu? Kuna walakini hapa
Uko kwenye kuvaa ndio changamoto sababu kwa umbo langu navaa magaun marefu mapana au sketi ndefu Pana Sasa yeye halend ivyoNaunga mkono yote ispokuwa kwenye mawigi na mamake up,huhitaji hivyo vitu kuwa mzuri na mwenye comfidence.
Afanye mazoezi,ale vizuri,anywe maji kwa wingi,avae vizuri na kisasa(sio kihuni),na ajipende.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto anaishi kwa mama tena yeye hua abagomba anataka tuishi nae hapaKwa upande wangu hilo tatizo. Naona sio ishu sana tatizo kubwa ni huyo mtoto ambaye sio damu yake ,kumbuka sio rahisi kwa mwanaume kuonekana onekana na mtoto ambaye sio wake
Mtoto anaishi kwa Bibi yakeHuyo mtoto uliyezaa na mwanaume mwingine mpeleke kwa baba yake au kwenu utaona amani inarudi kwa kasi ya 5G
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha...Eti kama kibanda cha M-pesaWewe nae hueleweki mra yeye ndio anajishtukia mara ww ndio hujiamini eti yeye mzuri kushinda wewe...mwanamke toka lini akaanza kujishindanisha uzuri na mumewe?!
Au wewe ni wale wanawake wenye miili mikubwa mpkaka ukivaa nguo nyekundu unaonekana kama kibanda cha M-PESA
Sent using Jamii Forums mobile app