Inaniumiza sana

Hahahahha sasa Rebby hayo manguo ya shape wakati wa kulala ukifika si ndio yaleyale tena anakuwa wogorowogoro,mchana beyonce usiku mwanahawa...wooiii ajipende tuu na abadili lifestyle yake,.hakuna mtu mbaya ni mtu mwenyewe unavyojiweka

mnhhh mie nimeshauri vitu vya kumfanya ajiamini,ukivaa nguo inayoendana na mwili wako ukapendeza,itakuboost confidence na confidence ya mumeo kwako,hiki ndicho kinachokosekana kwenye hii ndoa,sidhani kama mumeo ana shida na muonekano wako wa ndani,otherwise asingekuoa,(muonekano wa nje+ muonekano wa ndani,zote ziwe mbaya then kwa nini kakuoa???...
 
Kwakweli Mungu akusaidie mamaangu loooh ilikuaje mpka akakuoa au uliforce ndoa na Kama alikuoa yeye kwa mapenzi yake kwanini akose amani kujiachia na we we...pia nakuona una hisi kuzarauliwa kitu ambacho kinakutafuna mdogo mdogo kikubwa cha kukushauri MPE nafasi Mr...na wewe jipe nafasi jipende zaidi kula vizuri na jipe furaha mwenyewe ...usitegemee furaha kutoka kwa mtu mwengine....wala usijihisi vibaya kuwa ye ni handsome afu wewe sura ya baba mamaangu maisha ndo hayahaya jithamini jipende jitunze jiheshimu ...jikeep busy as a wife ndoa yako ni changa sana...usijipe stress zisizo na kichwa wala miguu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante
 
Wewe mwanamama mbona unauliza maswali magumu sana ?
 
Mkuu ushauri mzuri umempa tatizo la huyo mama pita yeye mwenyewe kwanza hajikubali na muonekano wake, chura hana mtu yuko flat, sura yabkiume, miguu kama fito, halafu ana kitambi. Kwa maelezo yake hana chochote cha kuvutia sasa huyu mtu gani huyu yeye mwenyewe kashajiona mbovu nani atakae muona mzuri. Maana kwa maelezo yake ukiyaangalia hata shepu yake haileweki 1 haiingi 7 hayumo. Unaweza kukuta hata kitandani pia Mzigo hana mbwembwe hajitumi yaani yupo yupo tu hajui kujiongeza. Wenzake wakikosa muonekano wanakuwa wajuzi kunako BED, kwa shepu hiyo sijui hata umkunje style gani atakushawishi


Nachukia wananwake wasiojiamini na muonekano wao.
 
Kuzalishwa. Hakuna neno linanikera kama hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jikubali mamaangu atakama ungekuajr ur beautiful the way u are mamaa upendo hauangalii yote ayo shukuru Mungu umeolewa focus kujijenga kiuchumi na kusaidia ndugu zake na mjenge mwanao life is too short my dia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilo ndio tatizo la uchawi,,,,wewe unafikri kwamba mganga anakusadia kumbe anakwalibia....saiv hauna aman ..je kwanin unajeukumu??? Ukweli unaujua ww...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bibiye kwa maelezo yako inaonesha kuna mtu anakusaidia kutunza mumeo pole sana mana unaonekana ni mama wa mashughuli mpaka mumeo hatamani kua na wewe alafu kingine wewe ndo ulie mtongoza na nahisi una wadhfa ndomana mchizi ana kuvumilia ni mtazamo tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana...

Sasa mlikubaliana vipi kua pamoja ili hali wote hamjiamini...


Cc: mahondaw
 
Sina ubusy wowote jmn alafu yeye ndie anakipato kikubwa kuliko mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…