Muoe wewe mkuu.
Si kwamba nataka kumuoa hapa ila I wish kupata such kind of woman.
Dada anampenda rafiki yangu, siwezi kumuoa maana najua upendo wake kwa rafiki yangu hauishi hata wakiachana vipi, unataka nimegewe?Ndio huyo mkuu! Unataka nn tena?!
Haiwezekani
pilipili usio ila yakuashia nn?
af mnasingizia wanawake wanajilengesha huyo mwanaume anajichomekezaNaona ushampenda mpenzi wa rafili yako, uje utupe maendeleo desemba.
Kwa kumsaidia kamtambulishe kwenu kisha umlipie mahari utakuwa umemsaidia sana!Hayanihusu moja kwa moja ila inaniuma kwa kweli. Nina rafiki yangu ana girlfriend wake ambae dada huyo anampenda sana rafiki yangu na anafanya kila analoweza kumfurahisha jamaa. Rafiki yangu ni kicheche ana wasichana wasiohesabika anabadili kila leo japo anampenda huyu mdada kuliko wanawake wake wote. Huyu mdada she is wife material kabisa kimuonekano hata kitabia, natamani rafiki yangu amuoe lakini kwa upande wa pili tabia za jamaa naona either atakuja kumuumiza mdada akijua jamaa kicheche au atamuambukiza STD's. Naumia sana nikiwaza maisha ya mdada baadae. Sina la kufanya maana rafiki hashauriki. Wana MMU nimsaidiaje mdada
Naona ushampenda mpenzi wa rafili yako, uje utupe maendeleo desemba.
Mfano akipata ukimwi dada wa watu na ukichukulia namkubali sana shem wangu. Ananiulizaga kama rafiki yangu anamcheat, anauliza kama hayuko serious me namwambiaga yuko peke yake tho najua wako wengi.
Si kwamba nataka kumuoa hapa ila I wish kupata such kind of woman.
Tupo wengi wenye marafiki wa hivyo ila kwakuwa ni rafiki yako mpe ukweli wake..!!
Player hubadilika na kutulia zaidi ya shabiki kipofu