Inanisikitisha sana

JICHO LA TATU

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
306
49
Habari zenu wana jamvi, Suala hili ni kwa wale wanaume au wanawake wenye tabia ya kupekua simu za wapenzi wenu. Sikatai Suala la kukagua simu bt tatizo ni namba mnazokutana nazo kwenye hizo simu za wapenzi wenu, hivi umekuta namba jina ni la mwanamke au mwanaume bila ya kukuuliza huyu ni nani bs wewe unachukua simu na kuanza kupiga kwa namba husika, EEH NDO NAKWAMBIA UKOME KUWASILIANA NA MUME WANGU/MKE WANGU KILA SIKU NAKUTA MISCALL ZAKO MARA HIVI MARA VILE(TENA HASA WANAWAKE). JAMANI WENGINE NI WAFANYAKAZI WA HAO WAPENZI WENU MSIPENDE KUKURUPUKA BILA KUJUA HUYU NINAYEMTUKANA NI NANI KISA TU UMEKUTA MSG LABDA IMEANDIKWA JITAHIDI TUONANE...... AAH SIYO VIZURI HIVYO HATA KAMA NDO ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO HII IMEZIDI WAJAMENI.
 
Mie napekua hadi makalio, namba zingine wanasevu huko
Kalagha baho, mjini hapa, sina jembe zaidi ya buzi lol
 
Kuna mtu kaniambia "wivu ni kipimo cha mapenzi" hivi ni kweli? kama sukari inavyopimwa kwa kilo au maji yanavyopimwa kwa lita!!!
 
haya....tutaacha....hatutukani tena....

msiache tu...MKOME KABISA!nachukia sana kupekuliwa mimi aisee!we umeniikuta mi nina li-historia tayari,wenzako waliopita wakishikana mikono wanafika mpaka ''kwa iddy,toka AICC'',afu we uje unichunge leo!!naweza kujichunga ndo maana nime-settlte down na wewe!mkome kabisa!
 
eeh....kweli upo serious.......
 
Habari zenu wana jamvi, Suala hili ni kwa wale wanaume au wanawake wenye tabia ya kupekua simu za wapenzi wenu. Sikatai Suala la kukagua simu bt tatizo ni namba mnazokutana nazo kwenye hizo simu za wapenzi wenu, hivi umekuta namba jina ni la mwanamke au mwanaume bila ya kukuuliza huyu ni nani bs wewe unachukua simu na kuanza kupiga kwa namba husika, EEH NDO NAKWAMBIA UKOME KUWASILIANA NA MUME WANGU/MKE WANGU KILA SIKU NAKUTA MISCALL ZAKO MARA HIVI MARA VILE(TENA HASA WANAWAKE). JAMANI WENGINE NI WAFANYAKAZI WA HAO WAPENZI WENU MSIPENDE KUKURUPUKA BILA KUJUA HUYU NINAYEMTUKANA NI NANI KISA TU UMEKUTA MSG LABDA IMEANDIKWA JITAHIDI TUONANE...... AAH SIYO VIZURI HIVYO HATA KAMA NDO ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO HII IMEZIDI WAJAMENI.

Mapenzi ya kitoto hayo.
 
he he he, hata mie nafuata yake.
Kanikataza kusuka maweaving, nimeacha

kanikataza kuvaa hereni kubwa, nimeacha

kanikataza kuvaa viatu virefu nimeacha

kanikataza suruali, nimeacha

sasa kwa nini na yeye nisimshirikishe na kasheshe zangu?

jamaa yako moto anauota aisee!punguza ukorofi kidog basi,eenh mwanamke!
 
Mie napekua hadi makalio, namba zingine wanasevu huko
Kalagha baho, mjini hapa, sina jembe zaidi ya buzi lol

nimechaka moaka mbavu zinaniuma du we mwisho wa mambo ukukuta hajachamba uambulie mavi kwiwkiwkwiwikwiwkwiwi
 
lara 1 hebu njoo huku waambie jinsi yakuzikagua cm hao kalagabaho wasijue maana wengine wanachemka wanakamatwa mabuzi yanalalama huku akati mjini hapa watu hawana majembe wana mabuzi tu ati kwikwiwkiw Kongosho umenchakesha sana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom