suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
Mhhhhhh, naona chenga chenga, zungusha mlingoti signal ikae vizuri nikusome.
Hizo chenga usizitupe fanya kuwapa kuku wanenepe
Mhhhhhh, naona chenga chenga, zungusha mlingoti signal ikae vizuri nikusome.
chenga za tv kuku wanakula?
Hata siku huwa kuna jumatu mpaka j'mosi,
mmmh nikiliona jina lako tu kiroho kinanidunda!!!! nakupendaje jaman...
Mtumeeeeee!!!
Hahhaha shemdarling vip tena...
Hakuna kitu
nilidhani kuna tatizo nije kukutibu
Likiwa sikufichi shemeji
Likiwa sikufichi shemeji
safie kabisa, nipo kwa ajiri yako....
mmmh nikiliona jina lako tu kiroho kinanidunda!!!! nakupendaje jaman...
Waniuliza??? We s umesema unaona.chenga hujaspecify chenga gani
mkuu jamaa_mbishi sina tabia hiyo hata kidogo na kama umenifatilia vizuri nimesema nimekuwa fundi wa kumfikisha kileleni mpz wangu mara nyingi ila kuna wakati inatokea yy kutofika kileleni.
Kweli mkuu NAHINGA cutie bee anaonekana anajua..yaani ukiwa na mtu kama huyo hauumizi kichwa kabisa maana mnaenda sambamba tu..hahahaaa sr Bachelor, cutie Bee ni mkali sana .... nimemkubali kwa ushauri wake