Samsung galaxy s4 gt 19500 iko ndani ya guarantee ya two years. Hadi risiti ,box yake mpaka ear phones zake, kila kitu unapewa kama dukani vile. Changamkia dili utimize ndoto zako.
Nitimize ndoto yangu kivipi?
Samsung galaxy s4 gt 19500 iko ndani ya guarantee ya two years. Hadi risiti ,box yak.......
Wanasiasa bana! Umesoma title yangu vizuri? Kama hauna 1 mil unakausha! Sio lazima ucomment kila kitu!Samsung Galaxy S IV/S4 GT-I9500 Factory Unlocked Phone - International Version (Black Mist)
Amazon.com: Samsung Galaxy S IV/S4 GT-I9500 Factory Unlocked Phone - International Version (Black Mist): Cell Phones & Accessories
Anayetaka kwa laki 6 ama laki 7 muuzie sababu kwenye ebay na amazon ambazo ni used kama mpya ni $305 na mpya ni $485
Samsung galaxy s4 gt 19500 iko ndani ya guarantee ya two years. Hadi risiti ,box yake mpaka ear phones zake, kila kitu unapewa kama dukani vile. Changamkia dili utimize ndoto zako.
Wacha maneno ya dharau kiongozi. Nina mwaka wa 5 kazini na nimefanya mengi tu ya msingi. Nina s3 na s4 na nimeamua kuiuza s4 kwa sababu s3 ni nzuri kwangu kuliko s4. Ila achana na maneno za dharau sababu hunigahamu ,utaniitaje kijana wa bumu?kijana alikuwa na "ndoto" ya kumiliki s4, alipopata pesa tu kannua, sasa kagundua ile pesa anaihtaj zaidi kuliko simu, si unajua vijana wa sku hizi wakipata 'bumu'.....!