Unless kama nimeshakugaia!!
Ingekuwa enzi za UKIMWI free Fidel kaka yangu wala usingesikia hivi vilio vya mara kwa mara.
lijirudi wakati limeshakupa ukimwi?????
aaaah men are just men bana!!!
MJ1,
niPM tuzungumze maana kuishi kwa akili ni individual choice na sacrifice - kujadili hapa inaweza kuleta tafrani.
Hehehehe hata kumendea tu huoni Mr. wa Nyamayao alivyo taka kumfumua mtu ndani ya supermarket.
Unakumbuka kanisani ulikula kiapo kuwa mtakuwa pamoja na kushikamana kama kumbikumbi kwa shida na raha hili la ukimwi ni moja ya ajali katika maisha si kanakwamba Mr. ndo alitaka kuupata huo ukimwi katika pita pita zake akapata ajali kwa hiyo lazima uendelee kumpenda tu lasivyo utakuwa unamkiuka Mungu na maandiko yake.
Sasa utamtosa? Mnatupenda tukiwa wazima sio???
Na wewe unaelekea huko huko kwenye ndoa haya utakuja kuyasikia pindi utakapo chuja.
Grandpa shkang'Chondechonde WOS! Usimfundishe mjukuu wangu kwenda kwa Sangoma! LOLZ!
lijirudi wakati limeshakupa ukimwi?????
aaaah men are just men bana!!! Wameumbwa watutawale. Wanawake tunalazimika kukubali hili!!!
Grandpa shkang'
Mmeamkaje?
Ukisikia watu wanaangamia kwa kuendekeza usamaria wema ndio kama ivi.
Hebu uliza akina kaka/baba walio hapa, endapo mwanamke umekimbia na mwanaume mwingine hata for 1 year, ukarudi kama huyo mwanaume angekupokea let alone kulala kitanda kimoja tena...hatujaongelea ku do!
Na hata kama huyo mwanaume angekupokea halafu umuambukize nadhani famili tribunal ingekupitishia hukumu ambayo utakufa kabla hata ya kutumikia adhabu!
Its hard to be a woman jamani!
Thats My Mamushka! Umekula Senksi fo zis yuziful posti!
biggy ume-edit lakini jamani
anyway mi siumizwi kichwa na nyie viumbe kwa kweli
maisha tambarareeeee
biggy ume-edit lakini jamani
anyway mi siumizwi kichwa na nyie viumbe kwa kweli
maisha tambarareeeee
Hahaha! Chief Editor on duty!! Na kichwa kikikuuma tunakupa panadol sisi wenyewe!
Aksante Ama nitafanya kama ulivyonishauri. Hivi inawezekana jamaa (shem) anamega ?? Maana mbona kareact kihivyo??
Dada yeye mwenyewe anasema jana jioni ofcn kwake secretary wao alikuwa anasimulia habari ya dada mmoja ambaye anafanya kazi ofc flani (ambako mumewe naye anafanya) vituko vya huyo dada ni vikubwa si ndio akaona amwulize mumewe kama anamfahamu huyo mdada akiwa anataka kujua kama kweli ofc hiyo kuna mtu wa jina hilo. Hayo majibu alopata kabadki kaduwaa.
Aksante KisasangweOH maimai hapo reaction inaonesha wazi kua kidume ashadandia. kitendo cha kuulizwa akajua mkewe ashang'amua.ili kujilinda akawa mkali.bi dada ana bahati hakutandikwa makofi manake wanaume dizain hiyo hachelewi kurusha ngumi ili aonekane hana hatia.
pole mdada kacheki afya yako then utafte namna ya kujipanga poa
Halafu maswali mengine ya kizushi kweli, kashamuharibia siku mumewe hapo! Halafu anakimbilia kulia! π Imeandikwa: '' Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake mwenyewe!''.
Mwambie huyo rafiki yako huo ni umbea, na wanaume hawapendi umbea, ndio maana jamaa akawa mkali! π
Halafu maswali mengine ya kizushi kweli, kashamuharibia siku mumewe hapo! Halafu anakimbilia kulia! π Imeandikwa: '' Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake mwenyewe!''.
Hahahahahahaha Nyamayao ukijifanya mjinga utaweza kuishi vizuri tu kwa amani na upendo baadae hilo limwanaume litajirudi na kutafakari lakini ukiamua kushindana nae hapo ndo inakuwa balaa amani nyumbani inapotea wewe jifanye mjinga tu ipo siku. Inafika kipindi mwanaume anaingia na uhuruma na unahurumiwa na anajirekebisha.
Nina amini kabisa hii umeiandika kwa sababu tu umejisikia kuandika masaki!!
AAlijuaje pengine alitaka kuujua kama yupo kwa masuala ya kiofisi!! Mume alitakiwa kwanza ajibu ndio au hapana then reaction itakayofuata hapo asingelaumiwa!!
sikuhizi baada ya kuvua mapendo ya longolongo hata kichwa hakiumi biggy....
can u even recall the last time I asked you to buy me a panadol???? ...NO!!!
dawa ku-ignore tu!!!