Inalipa ??

Dodo18

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
315
93
Naomeni msaada wenu wana Jamii.. I have about 3Million na nataka kui invest kwenye biashara ya M-Pesa, Tigo Pesa lakini nataka kujua inakua vipi kila kitu from profit na loss?? Nyumbani napoishi sinza mori, kuna frame ambayo haina mtu na baba kaniambia nifikirie kitu cha kufanya.. Ahsanteni
 
Mbona sijibiwi jamani??? Si unajua tena pesa haikaagi mikononi especially kwa sisi vijana..
 
Ts' ok, m-pesa iko poa zaid cse makato yote utayowakata watu kwa lengo la kuwatumia hela zao yote yatakua faida yako na pia mtanda utakulipa kila mwisho wa mwezi na kadri utavyokua na mtaji mkubwa ndo kadri utavyo gain more profit, hop u understood
 
Not exactly.. Mtandao wa voda ndio utakaonilipa mwisho wa mwezi ?? Inakuaje ?? Ungeingia kiundani zaidi..
 
Kwani unalipwa kwa number of transactions kwa mwezi au kiasi cha fedha zinazotumwa kwa mwezi

Hata mimi nahitaji kujua hawa jamaa wanatengeneza vip faida kwa kuwa wakala wa Kampuni kama 7 kwa wakati mmoja

(MPESA, AIRTEL MONEY, TIGO PESA, EZY PESA, DSTV, ZUKU TV, EASY TV, LUKU)

Naomba elimu tafadhali
 
Msiwe wavivu wa kutafuta thread nyingi zilizowahi jadili haya mambo kwa kina kabisa.
 
Kuna thread kibao zina information hizo, mnataka tuwe tunarudia mambo hayo hayo kila siku?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom