Inakuwaje rais anasafiri sana

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Nashangazwa sana na hali ya rais wa nchi kuwa safarini kila kukicha,hivi ndivyo inavyotakiwa? Mbona hatuoni marais wengine wakisafiri hivyo?

Hivi walewasaidizi wake hawawezi kumwakilisha kama anahudhuria vikao?
 
nashangazwa sana na hali ya rais wa nchi kuwa safarini kila kukicha,hivi ndivyo inavyotakiwa???????????mbona hatuoni marais wengine wakisafiri hivyo?????????hivi walewasaidizi wake hawawezi kumwakilisha kama anahudhuria vikao?????huyu rais ovyoo sana

Rosemarie,
Hujui kwamba hiki ni kipindi cha lala salama? Anasafiri ili achume chume Foreign Perdiem za mwisho mwisho maana historia inaonyesha kwamba ni kipindi cha mwisho cha uongozi ndipo watawala wengi akili zao hujikita katika kuchuma mali.

Hata historia ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa inaonyesha kwamba aliharibikiwa kipindi cha Pili. Na tuhuma zote zinamkabili leo nyingi ni za 2000 - 2005
 
Rais alishawaambia watanzania kwamba asiposafiri watakufa kwa njaa. Safari zake zina tija maana zinaleta fedha nyingi kwa ajili ya maendeleo ya nchi.
 
Back
Top Bottom