Inakuwaje..naomba kufahamishwa!

Inakuwaje..naomba kufahamishwa!

Mr Yes

Senior Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
153
Reaction score
29
Nimekua nikisikia na kusoma sehemu mbalimbali juu ya Mwanamke kufika kileleni au kupiga goli wakati wa kufanya mapenzi,nimefanya mapenzi mara kadhaa lakini huwa sijui kama mwenzangu amefika huko kileleni au kama amepiga bao.
Naomba nieleweshwe inakuaje ili niwe najua maana isije ikawa mara zote hizo nilikua napaka rangi upepo.
NB:Uungwana ni vitendo,tuelimishane na si kutukana.ahsante
 
Unatuuliza sisi badala ya hao mademu zako. Kawaulize ukimaliza kama nao wamefikakunako kilele
 
ni ushauro mzuri ila ninachotaka mimi ni kujua inakewaje bila kuambiwa na mhusika kwasasbabu anaweza kudanganya.
 
ha ha ha, nimecheka tu.

Nilipanga kukubutua ila sentensi yako ya mwisho ikaninyong'onyeza. Ngoja waje.

nashukuru hujanibutua but i still need your constructive ideas please
 
Muulize mkeo anajua maana ya kufika kileleni???? kama anajua then ask her kama mkifanya tendo la ndoa huwa anafika hapo......
NB; SOMETHINGS WERE MENT TO BE PRIVATE......UNLESS OTHERWISE LOOK FOR A WISER PERSON TO SHARE/ASK THEM SUCH THINGS....
 
Nimekua nikisikia na kusoma sehemu mbalimbali juu ya Mwanamke kufika kileleni au kupiga goli wakati wa kufanya mapenzi,nimefanya mapenzi mara kadhaa lakini huwa sijui kama mwenzangu amefika huko kileleni au kama amepiga bao.
Naomba nieleweshwe inakuaje ili niwe najua maana isije ikawa mara zote hizo nilikua napaka rangi upepo.
NB:Uungwana ni vitendo,tuelimishane na si kutukana.ahsante
una miaka mingapi kwanza?? pili umewah kulala na waschana wangapi mpaka hapo ulipo?? nijibu ili nikufundishe uelewe.
 
Twende jukwaa letu la chini. Huko utapata msaada wowote unayohusu mambo ya chini . Nafikiri umenipata.
 
mpaka sasa ni kama wasichana 3,and about age;im 25+
 
Twende jukwaa letu la chini. Huko utapata msaada wowote unayohusu mambo ya chini . Nafikiri umenipata.

ni jukwaa gani ndugu maana hapa jukwaani ni mgeni
 
Najua watu wanaweza wakawa wanachukulia kama utani but mimi nipo siriaz napenda kuijua,kwasababu itanifurahisha kujua kama mpenzi wangu amefikka mahali panapotakiwa bila kumuuliza and i think that sounds better,so tafadhalini kwa anayejua naomba anisaidie hata kwa PM kama unaona hapa itakua haipendezi pleeeeease i need ur ideas.
 
Hayo yanahusikaje dear?
sasa kama hajui kama alishawah kumkojolesha mwanamke huon naweza kuwa nasema na kijana at his teens??
naogopa sana kumfunza mtoto mambo ya ngono na akinijibu nitajua naseme na mtu gani.

so far nimeona swali lake la ki form 4 sana.
 
Back
Top Bottom