Inakuwaje na wakati nina kadi ya bima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inakuwaje na wakati nina kadi ya bima

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Chebyshev, Sep 12, 2012.

 1. Chebyshev

  Chebyshev Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 5
  Habari zenu wana JF
  mm nmechaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha dar es salaam. Lakin kwenye DIRECT COST zao kuna fedha ya matibabu, sasa inakuwaje na wakati mimi ninatumia bima ya afya na mzee wangu anatozwa fedha nyingi kwenye hyo bima???
   
 2. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nenda kamweleze dean of students atakupa majibu sahihi.
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Hata mwenyewe ningependa kujua,maana hata mie natumia bima.
   
 4. Chebyshev

  Chebyshev Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 5
  samahan hyo dean of students ni kama nani pale chuon?
   
 5. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ni kama mratibu, mshauri na msimamizi wa masuala mbalimbali ya wanafunzi.
   
 6. K

  KALLAGO Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inabid utoe coz kuna accident mbalimbali au unaweza kuugua gafla ataukashindwa kuonyesha bima yako and then hata usafir wa kukupeleka hospital co itabid utoe kama tahadhar
   
 7. M

  Mpendawali Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umexomeka Kallago
   
 8. N

  NKANOELI JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Toa tuu,wengi wanazo lakini wametoa kuepusha usumbufu
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Ok,hata hvo co kubwa sana.
   
 10. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,358
  Likes Received: 6,700
  Trophy Points: 280
  kwa hisani ya ubungo, ...Ni kama mratibu, mshauri na msimamizi wa masuala mbalimbali ya wanafunzi.
   
 11. +255

  +255 JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,909
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Hana tofauti na Matron au Patron kwa kule sekondari.
   
 12. Chebyshev

  Chebyshev Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 5
  Shukran sana wadau, nmewaeleweni.
   
Loading...