melisafilbert
Member
- Sep 3, 2013
- 67
- 9
hjklop
utakuta mwanaume yuko kwenye ndoa na labda amekutana na mwenzake jana lakini kesho usiku akiwa usingizini anajimwagia (kukosa neno la kutumia) kwenye pajama yake hii inatokeaje inamaana huyu mtu anakuwa haridhiki au ni vipi hii siielewi
Hahahaah! Huyu mwanaume ni balaa.