Kwanza ukishakua mtu mzima lazima utambue kufa ni lazima na unaweza anza wewe au yeyote hivyo lazima ujiandae kisaikolojia kwamba muda wowote unatendwa .
Tuishi kwa kumtumaini Mungu na kwa siku yoyote uipatayo jiandae ukibaki baada ya kuachwa na wazazi,rafiki’ jamaa au ndugu utajisaidiaje na utasaidia vipi wenzako ili kuzimalizia siku ulizopatakuishi.
Wakati unasubiri kutangulia hii itakusaidia sana kusimama kimaisha bila kulaumu hata ukikutana na tukio zito la mpendwa wako yoyote.