Inakuwaje mtu kafiwa na mama yake lakini haoneshi huzuni wala kulia?

Kwanza ukishakua mtu mzima lazima utambue kufa ni lazima na unaweza anza wewe au yeyote hivyo lazima ujiandae kisaikolojia kwamba muda wowote unatendwa .

Tuishi kwa kumtumaini Mungu na kwa siku yoyote uipatayo jiandae ukibaki baada ya kuachwa na wazazi,rafiki’ jamaa au ndugu utajisaidiaje na utasaidia vipi wenzako ili kuzimalizia siku ulizopatakuishi.

Wakati unasubiri kutangulia hii itakusaidia sana kusimama kimaisha bila kulaumu hata ukikutana na tukio zito la mpendwa wako yoyote.
 
Ipo hivyo!
 
Jana tulienda MUHIMBILI kuchek mgonjwa ambae ni mama damu wa rafiki angu, aligongwa na gari maeneo ya mbagala akakimbizwa MUHIMBILI kwahiyo tulipoenda tukapewa taarifa ameshafariki.

Kilichonishangaza ni huyu rafiki angu ambae kafiwa na mama ake yani yupo normal kuliko sisi ambao sio wafiwa, anaongea na daktari kawaida na uso wa kawaida bila kutikisa kichwa yaani.

Tukafanya utaratibu wa usafiri mida ya saa Tatu asubuhi hivi, tukapanga kila kitu jioni ya saa kumi na moja tukawa tumezika sunajua tena waislam. Nje na hapo Nina wasiwasi wa huyu mtu kuhusika kifo cha mama ake mzazi Kwa Tama za utajiri.

Msiba wa ghafla unauma asikwambie mtu tena sio ndugu wala baba ni MAMA MZAZI, mbaya zaidi akawa yeye ndoanafanya harakati za kutaarifu ndugu na chakula alikula vizuri sana huku akipiga stori za Mpira.

Niliondoka bila kumuaga huyu sio binadamu ni jini.
you are next
 
Nimefiwa siku zakarbuni tu namzazi, hakuna mahali popote nilikua nalialia wakat nahangaikia Mambo yamazishi. Sio rahis kma mwanaume kulia mbele zawatu, kula au kutokula haina uhusiano wowote nanafsi kuumia
Story za ucheshi kutabasam niinakua kma cover yakucontrol hisia zamajonzi.
Nimiezi sita imepita lakin still kunasku naamka vibaya hatakazin siendi nasingizia kuumwa.
Hayo mambo yakulialia nikwabaadhi yawanaumetu
 
Jana tulienda MUHIMBILI kuchek mgonjwa ambae ni mama damu wa rafiki angu, aligongwa na gari maeneo ya mbagala akakimbizwa MUHIMBILI kwahiyo tulipoenda tukapewa taarifa ameshafariki.

Kilichonishangaza ni huyu rafiki angu ambae kafiwa na mama ake yani yupo normal kuliko sisi ambao sio wafiwa, anaongea na daktari kawaida na uso wa kawaida bila kutikisa kichwa yaani.

Tukafanya utaratibu wa usafiri mida ya saa Tatu asubuhi hivi, tukapanga kila kitu jioni ya saa kumi na moja tukawa tumezika sunajua tena waislam. Nje na hapo Nina wasiwasi wa huyu mtu kuhusika kifo cha mama ake mzazi Kwa Tama za utajiri.

Msiba wa ghafla unauma asikwambie mtu tena sio ndugu wala baba ni MAMA MZAZI, mbaya zaidi akawa yeye ndoanafanya harakati za kutaarifu ndugu na chakula alikula vizuri sana huku akipiga stori za Mpira.

Niliondoka bila kumuaga huyu sio binadamu ni jini.
Ikiwa muislam unayefuata dini huwezi Lia,sababu dini inasema hiyo siku ya kifo ipo,ni kawaida Kama jua kuchomoza na kuzama,kulia hakusaidii chochote
 
Kuna dada mmoja namfahamu juzi kati alifiwa na mama yake. Tukatangaziwa kwenye group letu la whatsapp. Pole na michango zikaanza kutolewa mule kwenye group.
Sasa cha kushangaza huyu dada anafanya biashara ya Vifaa vya ujenzi, anaduka kubwa mjini. kwa mtazamo wangu mimi ni kama hakuguswa na msiba kwa sababu aliendelea kutangaza biashara yake kwenye status za whatsapp na anaonekana yupo happy sana. Na hakuwahi kupost chochote kuhusiana na msiba kama tulivyozoea kuona waswahili.
 
Huyo sio binadamu mwenzetu
 
Niifiwa na mzee wangu,TMJ mikocheni mimi ndie nilipewa taarifa na doctor kuwa mzee amefariki.

Mimi na ndugu yangu tukamchukua msiba hadi Amana monchwali maana Tmj hakuna huduma ya kuhifadhi maiti, muda wote huo sikulia.

Baada ya Amana,siku ya pili tukasafilisha maiti hadi Morogoro, siku ya 3 tuko Morogoro usiku ndipo zikaja hisia za kulia.

Kuna vipindi mwanaume unapitia hutakiwi kulia,yaani ukilia unaharibu maana wewe mwenyewe ndie umebeba mzigo wote wa kuhudumia msiba au tatizo
 
Back
Top Bottom