Inakuwaje Maabara ya kupima COVID-19 bado moja tu? I hope

Singidan

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
876
923
Anaandika Happy Wa Joseph (BIBI) kutokea China mahali ambapo Corona ilianzia.
_____________________________________
Kwa kweli nimeumia sana. Tangu kelele za Corona zimeanza nchi ina maabara MOJA dsm? seriously? Hatujui nini kipaumbele hata baada ya WHO kutangaza mara kwa mara athari ya hii kitu, tumebaki kuwekeza kwenye publicity na kukandamiza upinzani.

Yaani kudhibiti wapinzani hadi vijijini tuna nguvu na tunaweza kuwadhibiti, ila suala la afya bado tunalifanyia mzaha. Nina hasira mpaka nahisi nyongo inatumbuka. Nilidhani mikoa yote yenye kupokea wageni na yenye mipaka angalao kuna maabara ili kuharakisha hili suala.

I am super disappointed. Sasa mpakani huko Kigoma sampuli ipelekwe DSM... Are we serious? halafu anakuja mjinga mchangamfu anaimba TUNATEKELEZA.

NASISITIZA:
Vaa mask (N95) unapokuwa una shughuli kwenye maeneo yenye watu. Huyu mgonjwa aliketi kwenye ndege, hakuna aliyejua, wasafiri wote kwenye ndege ni suspected cases, hatujui walikuwa wangapi, wameenda wapi.

Kama ni nyumbani familia zao nazo ni suspect cases, na waliofikia hotelini wahudumu nao ni suspected cases. Na wahudumu nao kama walibadilisha shift wakaenda nyumbani familia zao ni suspect cases.

Dereva taksi je na wote aliowahudumia, na hao aliowahudumia walikutana na akina nani? Huu ndio mtihani mgumu wa Corona. Kujua nani alikutana na nani wapi, hadi kumaliza mzunguko woooooote. Na wakati anakutana nao hakuna aliyejua yupo hatarini.

Ndio tuna mgonjwa MMOJA aliyethibitishwa ila tuna suspected case zaidi ya 100 kutokana na huyo mgonjwa. Kama huyu mgonjwa ni wa kweli, sikilizia baada ya wiki 2 au 3 utaona matokeo. Usibeze ukasubiri mtu athibitike ndipo uvae MASK utakuwa umechelewa.

©Bibi Happy J
 
Mask anatakiwa kuvaa Nani aliyeathirika au ambaye Bado? Na Kwa Nini tuvae mask?

Bibi Happy J

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom