BabuMkubwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 2,298
- 3,364
Hakuna kipengere kwenye ajira ya Serikali kinachomzuia mtumishi kuacha kazi kulingana na Standing Order
Kwa hyo daktar yeye hahitaji maslah mazur?Waalimu wote ni wanasiasa bwashee!
Ila daktari ana umaalumu wa kipekee popote pale duniani.
Kutibu ni ibada!
Acha atoe matamko kuridhisha umma wa watanzania wasiojua Ila yeye mwenyewe anajua anachokisema hakipo na hakiwez kutekelezeka. Otherwise na yeye arud akawe mwalimuHakuna kipengere kwenye ajira ya Serikali kinachomzuia mtumishi kuacha kazi kulingana na Standing Order
Yapo serikalini!Kwa hyo daktar yeye hahitaji maslah mazur?
Kwa nn yeye alikimbia huko akaingia kwenye siasa?Yapo serikalini!
Hakuna sheria inayosema tuitumikie serikali kwa miaka mi 5 ndio tuende private.Yuko sahihi kabisa.
Sisi tulipomaliza chuo ilikuwa ni lazima kuitumikia serikali kwa miaka 5 kabla hujaenda sekta binafsi au haujajiajiri!
Kama vile yeye mwenyewe alivyokacha ualimu na kuingia kwenye siasa.
Hata nyie simlipambania ushindi wa kisayansi kwani mnahaligani wenzetu.Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani?
Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.
Maendeleo hayana vyama!
Enzi zetu tulikuwa tunaajiriwa kwa lazima serikalini baada ya kumaliza chuo!Hakuna sheria inayosema tuitumikie serikali kwa miaka mi 5 ndio tuende private.
Mtu yoyote yule anaweza kwenda taasisi yotote akiwa na qualifications. Ili mradi havunji sheria.
Kutokana na uhaba wa ajira. Serikal haiwez kuajiri madaktari wote kwa muda mmoja.
Na si dhambi kwenda private. Ili mradi unalipa kodi. Unalipa mkopo.
Mtu yoyote anaweza kuwa mwalimu lakini siyo kila mtu anaweza kuwa daktari bwashee.
Utabibu ni wito tena ni ibada!
Mwalimu siyo daktari uwe unaelewa bwashee!
Mwulize Mwenyekiti wako wa chama. Na ninyi wanachama mmeanza kuelewa kuwa Mwenyekiti wenu kuna wakati anaamka vibaya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwashee, kuna kuzeeka ila we unachakaa aisee maana sio kwa majibu hayo!!
Wewe huwezi kufundisha chochote?!Bwashee leo cjui umepata chang"aa cha wap???yaan kwa akili zako mbilikimo unadhan kila mtu anaweza kufundisha???acha utani bhana
Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani?
Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa.......!Siku nyingine akili yako inafanya kazi vizuri. Usiache kumeza hizo dawa bwashee 😂🤪