Inakukumbusha nini hii picha?

Inakukumbusha nini hii picha?

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,968
Reaction score
728
Angalia hiyo picha kwa makini kisha kumbushia moja ya malalamiko ambayo huyu Mh Sana aliwahi kuyatoa alipokuwa uraiani.

kin3.JPG


​
 
Tuonyesheni umati wa watu na kama ni watu 86 tuonyeshwe pia mana huyo mzee wa uamsho kapoteza mvuto hadi mwisho
 
juzi jamaa alikuwa mwananyamala anazindua kisima halafu kakonda dizaini..
 
Back
Top Bottom