Inakuaje!

MJ1,

Habari yako binafsi mjukuu wangu? Naamini easter imeenda vizuri na ikakuacha mzima kabisa.

Kwa ufupi na bila kuchakachua post yako ni kwamba UNAFIKI NDiO UNATUTAWALA SISI BINADAMU. Uhalisia unapatikana kwa nadra sana!

Mubarikiwe nyote bandugu bapendwa!

DC

Umeona eh Babu DC....Hakuna zaidi ya hilo.
 
Kweli MJ1,

Na wale wanaoumudu kucheza huu usanii vizuri ndio tunawaida role models.

Ki ukweli kwenye maisha ya ndoa ukitaka kuendekeza ukweli unaharibikiwa. Kaka yangu alimpoteza mchumba kwa sababu alikataa kula tunda kabla ya ndoa. Laiti angejua kuwa kwenye mahusiano usanii ndio unachukua sehemu kubwa asingelimwa kibuyu.
 
AD,

Hakuna anayekataa kwamba kutoka nje ni uhuni. Ila asilimia kubwa ya wanandoa (may be zaidi ya 80%) wanatoka nje ya ndoa. Hapo ndipo kizungumkuti kinapoanzia. Amini usiamini hakuna mwenye immunity dhidi ya hii kitu. Ukiweza kuwa miongoni mwa wachache waliomudu kuishi kwenye ndoa kwa staili ya useja basi gold medal itakuwa halali yako.

Binafsi sina hakika kama nitafikia umri wa kuzima kibatali nikiwa nimeumudu huo useja. Ni kazi ngumu sana!

lakini kila mtu akianza kujitetea na kusema i ngumu kwa hali hii kuna matumaini kweli..
au ndo tunachochea na kusaidia haya mambo kuongezeka..

hongera sana kwa kufika ulipofika...
na uzidi kupata nguvu ulizozipata kufika ulipo..
ili uweze kusema mmmhhh na kutukumbusha sisi
hakuna kigumu ukiweka akili yako yote kwenye hico kitu,,
 
MJ asante mpendwa..easter ilikua nzuri natumaini na wewe ulifurahia yako!! Kuhusu yaliyojificha ndani ya ndoa hata mimi najua yapo!Ila sasa kama mtu ana ujasiri wakwenda kuliwazwa kwa mwingine kwasababu partner wake sio mzuri...kwanini asitumie ujasiri huo huo kuondoka kwenye matatizo badala ya kutatua matatizo kwa kuongeza matatizo??Na kama mtu ametokea kumpenda mtu mwingine zaidi ya partner wake kwanini asimwache kabisa kwa anayempenda??Huoni kama anaechwa nyumbani anakua hatendewi haki?
 
AD sidhani kama kuna anayejitetea..nadhani hapa posts nyingi zinajaribu kueleza uhalisia zaidi ambao at the end of the day tutawezapata ufumbuzi wa janga hili otherwise tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu tukitegemea kupata maji laini zaidi. Lizzy ameuliza swali linalimsumbua ambalo kwa maelezo yake haelewi kabisa kwa nini ndo maana tunaona ni bora kueleza hali ilivyo

but wote tuko katika kujaribu kuifanya dunia hii a better place to live in.... nothing personal at all
 
Please Lizzy,

Hebu jaribu kutenganisha haya mambo unapojadili suala la kuchepuka nje ya ndoa. Siyo suala la mwenzi wake si mzuri na wala si kwamba hawajui kuwa si haki kufanya hivyo. Ila wanafanya tena sana. Kwa hiyo kuna mambo mengi sana yanayowafanya watu watoke nje ya ndoa. Mambo ya uzuri wa mwenzi wake, utaalamu kitandani, kero ndani ya ndoa n.k yanaweza kuwa visababishi au visingizio tu. The bottom line kwamba huyo mtu keshaamua kutoka nje. Hata ukimfunga pingu za mikono na miguu atatoka tu!
 
...mnh, watu hawa ni role models kwenye maisha ya ndoa, au maisha kwa ujumla?

halafu cjui mnajuaje kama mtu yupo happy/anapatiwa kila kitu kwenye ndoa yake,coz mnatuona tukicheka kwenye gari nakushikana mikono na mabusu? kuna zile ndoa ambazo zkiwa na matatizo ni ngumu kwa binadamu mwingine kujua labda mmoja wa wanandoa akushirikishe, ishu hapa ni kwamba hawa wanandoa watakuwa ni tabia yao ku cheat....
 
lakini kila mtu akianza kujitetea na kusema i ngumu kwa hali hii kuna matumaini kweli..
au ndo tunachochea na kusaidia haya mambo kuongezeka..

hongera sana kwa kufika ulipofika...
na uzidi kupata nguvu ulizozipata kufika ulipo..
ili uweze kusema mmmhhh na kutukumbusha sisi
hakuna kigumu ukiweka akili yako yote kwenye hico kitu,,

AD,

Naomba usikate tamaa wala usikubali kukatishwa tamaa na tunayoyasema. Ambayo bahati mbaya ndiyo hali halisi huko kwenye battle field. Please play your part..ila usijaribu hata siku moja kuusemea moyo wa mwenzio.

Mzee DC
 
AD sidhani kama kuna anayejitetea..nadhani hapa posts nyingi zinajaribu kueleza uhalisia zaidi ambao at the end of the day tutawezapata ufumbuzi wa janga hili otherwise tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu tukitegemea kupata maji laini zaidi. Lizzy ameuliza swali linalimsumbua ambalo kwa maelezo yake haelewi kabisa kwa nini ndo maana tunaona ni bora kueleza hali ilivyo

but wote tuko katika kujaribu kuifanya dunia hii a better place to live in.... nothing personal at all

ok .
kwa hiyo we unakubaliana au hukubaliani na hili swala?
 
halafu cjui mnajuaje kama mtu yupo happy/anapatiwa kila kitu kwenye ndoa yake,coz mnatuona tukicheka kwenye gari nakushikana mikono na mabusu? kuna zile ndoa ambazo zkiwa na matatizo ni ngumu kwa binadamu mwingine kujua labda mmoja wa wanandoa akushirikishe, ishu hapa ni kwamba hawa wanandoa watakuwa ni tabia yao ku cheat....

Karibu dada na heri ya pasaka,

Kuchepuka ni tabia ya mbu na kwa hiyo si rahisi kuiacha. Ila bahati mbaya ni tabia ya watu tulio wengi. Hapo ndipo wataalamu wanapotakiwa kukuna vichwa. May tungeachwa tuishi kama wanyama wa porini (promiscuous) labda ingekufa yenyewe!
 
AD,

Naomba usikate tamaa wala usikubali kukatishwa tamaa na tunayoyasema. Ambayo bahati mbaya ndiyo hali halisi huko kwenye battle field. Please play your part..ila usijaribu hata siku moja kuusemea moyo wa mwenzio.

Mzee DC

ni wengi nime wahi ongea nao kuhusu hili swala
wanalisifia, hawajali, wanasema ndo maisha siku hizi..
sasa mimi naiuliza kwa nini uolewe au uoe???
 
MJ asante mpendwa..easter ilikua nzuri natumaini na wewe ulifurahia yako!! Kuhusu yaliyojificha ndani ya ndoa hata mimi najua yapo!Ila sasa kama mtu ana ujasiri wakwenda kuliwazwa kwa mwingine kwasababu partner wake sio mzuri...kwanini asitumie ujasiri huo huo kuondoka kwenye matatizo badala ya kutatua matatizo kwa kuongeza matatizo??Na kama mtu ametokea kumpenda mtu mwingine zaidi ya partner wake kwanini asimwache kabisa kwa anayempenda??Huoni kama anaechwa nyumbani anakua hatendewi haki?

Lizzy mpendwa.....kuna mambo mengine humu ndani hata ujitahidi vipi kumshirikishano mwenzio muende sawa unakosa ushirikiano, wengine ndio wanaamua kujilipua kimapango mwingine,utashangaa baba ana mke mzuri sana kwa mtazamowa nje kilamtu anamtamai na binadamu tunaona kila kitu kinaenda sawa kwa huyo mama lakini utakuta mr wake ni kilafi balaa watu mnabakia kushangaa, kuna mambo kibao kwenye hizi doa...
 
MJ asante mpendwa..easter ilikua nzuri natumaini na wewe ulifurahia yako!! Kuhusu yaliyojificha ndani ya ndoa hata mimi najua yapo!Ila sasa kama mtu ana ujasiri wakwenda kuliwazwa kwa mwingine kwasababu partner wake sio mzuri...kwanini asitumie ujasiri huo huo kuondoka kwenye matatizo badala ya kutatua matatizo kwa kuongeza matatizo??Na kama mtu ametokea kumpenda mtu mwingine zaidi ya partner wake kwanini asimwache kabisa kwa anayempenda??Huoni kama anaechwa nyumbani anakua hatendewi haki?

Ni kweli kabisa mpendwa.... we should think and exactly do like what you have proposed here sweetheart but kuna a lot more ambavyo vinawezachangia mliwazwa kuamua alichoamua even if si kizuri....
1. anawezakuwa amejaribu kwa staili yake akashindwa (some matatizo are too complicated mydia otherwise tusingekuwa na divorces) na bado akawa COWARD kufanya maamuzi magumu ya kuacha ili awe free.na hili pia lina changiwa na mengi, familia, jamii inayomzunguka, hali ya kiuchumi, watoto you name it....when a person thinks of sacrificing all that he or she had for the sake of finding peacee of mind or love believe me atatafuta an easy altenative kabla ya kuamua lililo kubwa.

2. Suala la kuacha kwa kuwa tu umempenda mwingine nalo pia ni gumu haswa kwa wanandoa Lizzy........mmeshafungwa so si rahisi kuamua unachojiskia kwani hata hiyo pia ni kutokuwa fair kwa mwenzi wako ambaye anaweza akawa bado anakupenda sana wakati wewe humependa kwingine. There is no fair in either scenerio darling.

To fight this battle is difficulty kwa nguvu zetu wenyewe za kibinadamu na utashi wa uelewa wetu. Do not expect mtu akawa na busara katika hili pasipo kuwa mchaji MUNGU, mwenye utu na mwenye kujali wenzie. Si vita ya kupiganwa kwa akili zetu tupu za hisia za kimapenzi.
 
ni wengi nime wahi ongea nao kuhusu hili swala
wanalisifia, hawajali, wanasema ndo maisha siku hizi..
sasa mimi naiuliza kwa nini uolewe au uoe???

AD,

Kuoa au kuolewa na jambo moja na kuishi kiapo cha ndo ni jambo jingine. Yanahusiana sana ila yanaweza kuchukuliwa tofauti kabisa kutegemeana na mtu mwenyewe. Kwa wengi suala la kuoa ni kukamilisha hatua muhimu ya maisha bila kujali nini kitaendelea baada ya hapo. Sasa inategemea na wewe mwenye unavyoyachukulia hayo mambo. Ila ukifikiria sana lazima upate ulcers. Wenzio tumeamua kujifanya hatuoni. Tunashukuru Mungu siku ikipita ili mrandi nimetimiza wajibu wangu responsively. Sithubutu hata siku moja kujibebesha mzigo wa kuwaza nini kinaendelea upande wa pili!

DC
 
ok .
kwa hiyo we unakubaliana au hukubaliani na hili swala?

AD ninaomba unisome vizuri utanielewa. Hakuna binadamu anayependa maovu wala kuombea mwenzake uovu but pia it will be an ignorance kama tukiamua kufight kitu pasipokielewa vizuri....know the reasons, circumstances na situations zinazopelekea kuwepo kwa hilo tatizo then start dealing with them.................tuache unafiki wa kufumbia macho vitu kwa madai ya kuwa havihusiani na tatizo huku tukitaka kudeal with the symptoms..................... tunafight malaria kwa kuleta vyandarua na kila versions za madawa ya kutibu malaria wakati tunaendelea kufuga mazalia....................
 
AD,

Kuoa au kuolewa na jambo moja na kuishi kiapo cha ndo ni jambo jingine. Yanahusiana sana ila yanaweza kuchukuliwa tofauti kabisa kutegemeana na mtu mwenyewe. Kwa wengi suala la kuoa ni kukamilisha hatua muhimu ya maisha bila kujali nini kitaendelea baada ya hapo. Sasa inategemea na wewe mwenye unavyoyachukulia hayo mambo. Ila ukifikiria sana lazima upate ulcers. Wenzio tumeamua kujifanya hatuoni. Tunashukuru Mungu siku ikipita ili mrandi nimetimiza wajibu wangu responsively. Sithubutu hata siku moja kujibebesha mzigo wa kuwaza nini kinaendelea upande wa pili!

DC

sante Mzee
DC .. hapo kwenye blue
kila mtu akifanya na kuwa hivyo na dhani tatizo limeisha..
God Bless
 
Back
Top Bottom