Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,892
- 52,492
Hata Kama mkuu, ndo kweli mtu apate zero?
Jifunze kitu hapa,
Binadamu tupo tofauti sana
Akili/ubongo wako unaweza kuwa active kwenye kuelewa na kukariri vitu
Ila mwingi hiyo sehemu akawa yupo very slow na yupo active kwenye vitu kama creativity etc
Ndiyo maana same same person unaweza kumpa kitu kingine cha tofauti na akakifanya very perfect na yule aliyefaulu akashindwa kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app