Inakuaje mpaka mtu anafeli O'level?

Watz Hali zetu zinajulikana mkuu hata mm nimezaliwa familia maskini na shule zote nimesoma za serikali.

Kwa nature ya mitihani ya O'level, inawezekanaje mwanafunzi akashindwa kujibu mpaka akachora picha za zombi kwenye mitihani?
Kuna factory nyingi man. Ikiwemo hiyo ya kutoka kwenye familia duni.
Ili mtoto afaulu inategemeana na factors nyingi. Familia yenyewe.. wazaz wakoje.. wana mpa support mtoto.. hata kama hawafanyi je wanampush mtoto kujisomea.
Malezi.. je wazaz wanaplay part yao kuhakikisha mtoto yuko kwenye njia sahihi..?
Kishule je walim wanatiiza wajib wao, au shule ndio ile ina mwalim mmoja. Au watatu?
Kimazingira je jamii iliyomzunguka inadhamini elimu? Au ni zile jamii ambazo sukuma liende?

Kuna mambo kibao man. Nilipiga div II Lakini siwezi kuwadhihaki masela wangu waliofeli form four..
Wengine leo wamemaliza chuo kikuu. Wana kazi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hata Tukisambaraika leo tukimbilie Msumbiji, Angola ect unaweza kufuatia vyeti vyako na maisha yakaendelea. Sasa wale wa hisani ya Godfather ndiyo watajua kuwa maharage si mboga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
utajiri na ukilaza ni vitu viwili tofauti you will be "Reach but Kilaza"
Ukiwa reach hamaanishi ni kilaza. Mm na usom wangu wote. Kuna watu wana elim ndogo na wamenizid kimafanikio. How?
Kuwa reach is all aout akili.. yes darasan unaweza usipeform lakin in real world ukafanya vizuri.
Ukiwa kilaza hata hiyo akili ya kuanzisha biashara huto kaa uipate..
Utaishi kuwa mtu wa kulalamika tu. Matajiri wote wana one thing in common. Nayo ni vision.. na wakaamua kuifanyia kazi.
Usijedhubutu kumuita tajiri kilaza.. wkt wewe mwenye degree.. hujafikia hata robo ya utajiri wake licha ya usomi wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni myth man. Eti wanatembea na kandambili sijui kitu gani. No way.
Kwetu kuna tajiri ni class 7.. yes you heard class 7.
Yule mshkaji darasan hakuwa vizur.. lakin he was street smart.. ni mtu anaeweza kugundua fursa out of no where.
And today ameajiri mtu wa masters.. na wa degrees oficn kwake.

Maisha anayoish acha tu.. yuko vizuri. Swali langu kwako.. hao wenye degree na masters wanijionaje baada ya boss kuwa ni class 7? Nani mwenye akili hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuu sikatai, but elimu na mafanikio ni vitu viwili tofauti, kwa thread hii sijabase huko.
Mm nilikuwa nauliza inakuaje mtu anaenda shule miaka 4 yote kwa O'level then anafeli?
 
na kweli upo wrong Witmak255 lazima ujue ya kuwa wanafunzi wanatofautiana uwezo wa uelewa sasa usiwalaumu walio feli ndugu kumbuka hata ktk baadhi ya shuli walimu ni changamoto kwa maana ya uhaba wa walimu, maabara, hasa ktk shule zile za kata zina changamoto nyingi
 
Kwa nini uanze kuuliza wanaoshindwa kufaulu kidato cha nne badala ya kuanza kwa kuuliza wanaoshindwa kufaulu darasa la saba? Au niseme darasa la nne ambapo mtihani wa kupima uelewa wa ngazi ya awali kabisa kitaifa unafanyika?

Kama umeukubali ukweli kuwa inawezekana kushindwa kufaulu darasa la saba, la nne au tuseme hata darasa la awali, kwa nini ukose kujua sababu za wanafunzi kupata daraja sifuri kidato cha nne? Je ina maana darasa la saba masomo ni magumu zaidi kuliko kidato cha nne?
 
Hapana mkuu, logic ni kwamba mpaka mtu amechaguliwa na kujiunga na kidato Cha kwanza ni lazma awe amefaulu na hivyo na uwezo wa kidarasa,
 
kufeli kunachangiwa na mambo mengi sana so maisha uliyoishi wewe usifananishe na ya mwengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…