holy holm
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 4,792
- 9,204
Tema mate chini fukia, unaweza ukapata mtoto kilaza akakuonyesha ni jinsi gani wanapata 0
Ila maisha yanabadilika, ivi kweli mtu anapata 4 o level still anaweza kusoma degree na anafaulu??? Ingekua ni 4 ya a level inawezekana kwa sababu mambo yana change sana from o to a level. Mm niamini kitu kimoja kwako, matokeo yako ya o level yaliathiriwa na labda Mazingira ya shule, walimu hawakuwepo vzr, hukuwa na exposure na wanafunzi wa shule nyingine, walimu walikuwa wanafundisha matango pori, ulikuwa unmatured (siku izi watu wanamaliza form 4 na miaka 16). Mkuu hayo niliyoongea hapo juu yanachangia kwa asilimia kubwa! Tukubaliane tu na mtoa mada kuwa o level ni hatua moja rahisi sana kwa MTU kufaulu kuliko hatua nyingine(achana na primary ambapo siku izi wanalazimishwa kufaulu huku wengine wakiwa hawataki). Wewe inawezekana hukuweza kupata Mazingira mazuri ya kuperfom ukiwa o level japo ulikuwa na uwezo! Believe me or notnna division 4 ya form 4,mwana nilifeli now nna degree na nipo kwenye kufanya research kwa ngazi ya master +my own company ambayo naiongoza swali kwako mleta mada hyo 1 yako ya form 4 imekufanyia nn?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ukifanya research utanyamaza.Kiukweli inanishangaza sana ni kwa kivipi Hawa watoto na wadogo zetu wanafeli mitihani yao ya kidato Cha nne, Kwa wale walioenda shule haswa watakubaliana na mimi kidato Cha kwanza mpaka Cha nne kwa mtu alienda shule kusoma ni vigumu Sana kufeli, inakuaje mpaka mtu anakosa hata kupata credit O'level?.
Nakumbuka kipindi nasoma hii level sio kwamba najisifia lakini ilikuwa ni vigumu kunikuta nje ya alama 70+ kwa masomo ya Sanaa na "A" kwa masomo ya physics, maths na chemistry na hii ilikuwa simple tu kwangu kupata one ya 13 na point 4 kwa PCM nilipangwa minaki advance but nikabadili na nikakubaliwa kwenda benjamini mkapa high school kwa PCM.
Nakumbuka siku ya kwanza niliingia kwa mbwembwe Sana maana nilikuwa najiamini Sana kwamba Niko fiti na Comb. niliyochagua ni sahihi na naimudu, kulikuwa na mwalimu anaitwa kiumbe ( nadhani ni Jina la utani) kwa A. maths alikuwa vizuri somehow na kila week kulikuwa na mtihani wa kupimana uwezo kwa F5 na F6 iliyokuwa inatolewa na huyu mwalimu, mwanzo kwa advance kila mtu alikuwa na Moto kweli maana wengi Olevel tulikuwa vizuri tulishibishwa vya kutosha na tuition za mchikichini kwa mood na hidden.
O'level ishu ya physics na maths ilikuwa ni simple Sana kwangu yaani hata ukiniamsha usingizini ukanipa mtihani wa physics nikikosa "A" Basi nitapata "B" inayokaribiana na "A", na hesabu kulikuwa hamna namna ya kupata "B" vyovyote vile lazma nipate "A", the same to chemistry.
Sasa kadri siku zilivyoenda nikiwa advance nikagundua " Physics is not easy again" Kama nilivozoea...Hapa nilikuwa nafundishwa darasani natolewa na mifano naona niko fiti kwelikweli nikikamata KITABU Cha "CHAND" na "FUNDAMENTAL OF ENGINEERING" kusolve maswali najiona mweupe na shida ikaanza pale nilipokuwa naenda mchikichini kufanya mitihani ya kila wiki iliyokuwa inatolewa pale shule ya msingi mchikichini ( mwalimu wa tuition aliyekuwa anatoa hii mitihani Nimemsahau) nakumbuka siku ya kwanza kufanya hii mitihani nilipata 15 ya 100 hapa zilikuwa topic3 tu( projection, Error na Friction).
Nikamfuata mzee nikamueleza kuhusu kunilipia tuition ( mzee hakuwa na shida maana aliujua uwezo wangu), Kama sikosei moody kwa phyisc kwa topic fupi ilikuwa ni15,000/= na Heat na electromagnetic,Modern na zingine ndefu Kama hizi ilikuwa 20,000/ = kwa kila topic na A. Maths kwa Mwalami ilikuwa ni 10,000/= na 15,000/= kwa topic fupi na ndefu, Baada ya kumpigia hesabu mzee kulingana na vipeperushi vilikuwa vimetolewa ilikuwa Kama 450,000/= kwa topic hizi za masomo mawili mpaka zote zinaisha.. mzee akanipa 500,000/=.
Nikaingia tuition nikaaanza topic za mwanzo kabisa, seriously A.maths na chemistry hazikunipa shida kwa asilimia kubwa lakini physics japo niliipa mda wa 70 asilimia kulisoma lakini bado sikuweza kupata "B" NECTA but NECTA nilifaulu kwa division one advance nikiwa na "C" ya physics, nikajiunga chuo udsm kusoma computer engineering. Leo ukiniuliza nirudi kusoma physics Advance ni kitu kitu ambacho siwezi kukubalia " Yaani shule nitarudi ila sio kwa advance physics".
Huwa najiuliza inakuaje mtu anafeli elimu ya kidato Cha nne(4) yaani anapata div.0 au division 4 inawezekana vipi?, Kwa advance haswa kwa masomo ya PCM, CBG, PGM,PCB inawezekana Tena kirahisi Sana kwa walio soma hizi comb. Watanielewa Sana, Ila kwa Hawa O'level inawezekanaje mwanafunzi akakosa Cha kujibu mpaka akapata division 0?.
Kiukweli Mimi huwa simuelewi mtu anaefeli kidato Cha nne, hakuna namna ya mtu aliyesoma vizuri akapata zero au four kidato Cha nne.HAKUNA, mitihani ya level hii inaeleweka na kujibika vizuri mno kwa mtu aliyejiandaa.
Labda Niko wrong nisaidieni kujua inakuaje Hawa watoto na wadogo zetu wanafeli kidato Cha nne?
Ukishangaa hivyo kuna anayekushangaa kwa nini ulishindwa kuondoka na 1 ya pointi 7 o level na 1 ya point 3 a level. Tutaendelea kushangaana hivyo yaani.Hapana Wala sivuti bangi mama, Ila inawezekanaje mtu kuondoka na division 0 or four O'level?
JF hatari hainaga kapuku,wote wasomi matajirinna division 4 ya form 4,mwana nilifeli now nna degree na nipo kwenye kufanya research kwa ngazi ya master +my own company ambayo naiongoza swali kwako mleta mada hyo 1 yako ya form 4 imekufanyia nn?
Sent from my iPhone using JamiiForums
kwenye ofisi zetu za mapato huwa hakuna hayo maswali...[emoji23][emoji23][emoji23] mtu Mimi nilipata division four iliwezekana tena very simple sababu kubwa kabisa nilikua sina NIDHAMU.. Hili swali LA kwenye interview "ULISHA WAHI KUFANYA MAKOSA" KOSA GANI then NINI ULIJIFUNZA nililijibugi kwa makosa hayo. Na nini ulichojifunza.. Wale wazee walipigiaa makofi. Wakaniambia after 4 weeks Kitaeleweka, Thanks God tunakula mema ya nchi kwenye maofisi yenu ya mapato [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wote wana akili ya kuelewa masomo ya darasani. Wengine akili zao ni kwenye sanaa kama mbwana samatta, barnaba na diamondKiukweli inanishangaza sana ni kwa kivipi Hawa watoto na wadogo zetu wanafeli mitihani yao ya kidato Cha nne, Kwa wale walioenda shule haswa watakubaliana na mimi kidato Cha kwanza mpaka Cha nne kwa mtu alienda shule kusoma ni vigumu Sana kufeli, inakuaje mpaka mtu anakosa hata kupata credit O'level?.
Nakumbuka kipindi nasoma hii level sio kwamba najisifia lakini ilikuwa ni vigumu kunikuta nje ya alama 70+ kwa masomo ya Sanaa na "A" kwa masomo ya physics, maths na chemistry na hii ilikuwa simple tu kwangu kupata one ya 13 na point 4 kwa PCM nilipangwa minaki advance but nikabadili na nikakubaliwa kwenda benjamini mkapa high school kwa PCM.
Nakumbuka siku ya kwanza niliingia kwa mbwembwe Sana maana nilikuwa najiamini Sana kwamba Niko fiti na Comb. niliyochagua ni sahihi na naimudu, kulikuwa na mwalimu anaitwa kiumbe ( nadhani ni Jina la utani) kwa A. maths alikuwa vizuri somehow na kila week kulikuwa na mtihani wa kupimana uwezo kwa F5 na F6 iliyokuwa inatolewa na huyu mwalimu, mwanzo kwa advance kila mtu alikuwa na Moto kweli maana wengi Olevel tulikuwa vizuri tulishibishwa vya kutosha na tuition za mchikichini kwa mood na hidden.
O'level ishu ya physics na maths ilikuwa ni simple Sana kwangu yaani hata ukiniamsha usingizini ukanipa mtihani wa physics nikikosa "A" Basi nitapata "B" inayokaribiana na "A", na hesabu kulikuwa hamna namna ya kupata "B" vyovyote vile lazma nipate "A", the same to chemistry.
Sasa kadri siku zilivyoenda nikiwa advance nikagundua " Physics is not easy again" Kama nilivozoea...Hapa nilikuwa nafundishwa darasani natolewa na mifano naona niko fiti kwelikweli nikikamata KITABU Cha "CHAND" na "FUNDAMENTAL OF ENGINEERING" kusolve maswali najiona mweupe na shida ikaanza pale nilipokuwa naenda mchikichini kufanya mitihani ya kila wiki iliyokuwa inatolewa pale shule ya msingi mchikichini ( mwalimu wa tuition aliyekuwa anatoa hii mitihani Nimemsahau) nakumbuka siku ya kwanza kufanya hii mitihani nilipata 15 ya 100 hapa zilikuwa topic3 tu( projection, Error na Friction).
Nikamfuata mzee nikamueleza kuhusu kunilipia tuition ( mzee hakuwa na shida maana aliujua uwezo wangu), Kama sikosei moody kwa phyisc kwa topic fupi ilikuwa ni15,000/= na Heat na electromagnetic,Modern na zingine ndefu Kama hizi ilikuwa 20,000/ = kwa kila topic na A. Maths kwa Mwalami ilikuwa ni 10,000/= na 15,000/= kwa topic fupi na ndefu, Baada ya kumpigia hesabu mzee kulingana na vipeperushi vilikuwa vimetolewa ilikuwa Kama 450,000/= kwa topic hizi za masomo mawili mpaka zote zinaisha.. mzee akanipa 500,000/=.
Nikaingia tuition nikaaanza topic za mwanzo kabisa, seriously A.maths na chemistry hazikunipa shida kwa asilimia kubwa lakini physics japo niliipa mda wa 70 asilimia kulisoma lakini bado sikuweza kupata "B" NECTA but NECTA nilifaulu kwa division one advance nikiwa na "C" ya physics, nikajiunga chuo udsm kusoma computer engineering. Leo ukiniuliza nirudi kusoma physics Advance ni kitu kitu ambacho siwezi kukubalia " Yaani shule nitarudi ila sio kwa advance physics".
Huwa najiuliza inakuaje mtu anafeli elimu ya kidato Cha nne(4) yaani anapata div.0 au division 4 inawezekana vipi?, Kwa advance haswa kwa masomo ya PCM, CBG, PGM,PCB inawezekana Tena kirahisi Sana kwa walio soma hizi comb. Watanielewa Sana, Ila kwa Hawa O'level inawezekanaje mwanafunzi akakosa Cha kujibu mpaka akapata division 0?.
Kiukweli Mimi huwa simuelewi mtu anaefeli kidato Cha nne, hakuna namna ya mtu aliyesoma vizuri akapata zero au four kidato Cha nne.HAKUNA, mitihani ya level hii inaeleweka na kujibika vizuri mno kwa mtu aliyejiandaa.
Labda Niko wrong nisaidieni kujua inakuaje Hawa watoto na wadogo zetu wanafeli kidato Cha nne?
Wote tusome PCM chief????Kama mtu unakuta dume zima halitaki kusikia pysics, chemistry , wala hesabu ya aina yoyote toka form one linajiita mimi ni H e Chi Ji Ero ujue hilo ni vivu ra kutumia ubongo na uwezekano wa kuferi hata hayo ma H e Chi Ji Ero ni mkubwa. Yaani ri mtu harikaki kusikia chochote kinachohusisha hesabu.......>>> KIRAZA>>>
H e Chi Ji Ero ndio nini ?Kama umekusudia tahasusi ya HGL ulipaswa kuandika hivi Eich Ji Eil.Kama mtu unakuta dume zima halitaki kusikia pysics, chemistry , wala hesabu ya aina yoyote toka form one linajiita mimi ni H e Chi Ji Ero ujue hilo ni vivu ra kutumia ubongo na uwezekano wa kuferi hata hayo ma H e Chi Ji Ero ni mkubwa. Yaani ri mtu harikaki kusikia chochote kinachohusisha hesabu.......>>> KIRAZA>>>