Inakuaje mpaka mtu anafeli O'level?

Shukran kwako Mwl Mtiga, ile tuition yako matata sana
Kutoka kwetu mpaka mapambano ilikua mbali lakini ulinisaidia
Ila mkuu acha mbwembwe ( sijafeli form four)

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi siku hizi Hawa walimu wako wapi?
Na kipindi kike watu tulikuwa full kushindia mihogo lakini mapindi lazma yaende
 
Hiyo point 4 ya PCM imekujaje hapo, maana naona ulipata C ya physics kwa hiyo hata kama Advance Mathematics na Chemistry ulipata A basi lazma ungeangukia kwenye points 5.

Naomba uwe unatunza kumbukumbu vizuri pale unapodanganya.

Ahsante.
 

Ulikuwa na haja gani ya kuandika threadd ndefu namna isiyo na maudhui
 
Kwanza kabisa nitoe pole kwa mleta mada maana elimu yake haijamsaidia kitu,kwanini nasema haijamsaidia kitu kuna masikini na matajiri uwezi kulazimisha wote tuwe matajiri hivyo hivyo ni sawa na elimu lazma kuwe na division angalia hata maisha tunatofautiana sana kila kitu kuanzia chakula,mavazi,nyumba ,magari hata simu alafu nikupe mfano mmoja mie kipindi niko olevel form one hatukua na mwalimu wa mathematics,physics and chemistry unaona yaani hesabu nimekuja kusoma mwezi wa 8 nikiwa form 2 utanilaumu vipi kwa kufail kwangu ? Nahuku wewe mtoa mada kila kitu ulipata ndo maana ulifaulu ila nikushauri kitu kwenye maisha unapobalikiwa kula milo mi 3 mshukuru MUNGU maana kuna wengine hawajala siku nzima unapofanikiwa usiwaone wajinga wasio na kitu its matter of time one day it ill be over you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww licha ya tuition zote hizo bado ukapata C, Wengu hata 5000 ya tuition hawana.

Hujui kuna wanafunzi kuanzia kidato cha 1-4 hajawai kuona mwalimu wa hayo masomo, vitabu hakuna, hivi vyote huua motivation ya kusoma.

Kuna mambo lukuki yanachangia..pia ww ni unamajivuni na ni muongo ukipata C somo lolote advance huwezi kuwa na point 4.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeenda sikuwa na maana hiyo, hata mm nimesoma hizi shule hizo changamoto zilikuwepo, lakini kiuhalisia O'level ukiwa na Nia kwelikweli huwezi kukosa hata credit4
 
Dah nilijua tu wasiopenda shule na failures ambao ndio wengi humu lazima wakutukane
 
Unaijua Buruma secondary ilipo?
Kwa kifupi hii shule iko porini, kijijini kwelikweli Ni shule ya kata, wanafunzi wa shule wengine wanalazimika kutembea zaidi ya 10km kuifikia shule, Wana walimu wanne tu shule nzima.
Nenda kaangalie matokeo yake
 
nna division 4 ya form 4,mwana nilifeli now nna degree na nipo kwenye kufanya research kwa ngazi ya master +my own company ambayo naiongoza swali kwako mleta mada hyo 1 yako ya form 4 imekufanyia nn?


Sent from my iPhone using JamiiForums
What a good question? Huyu jamaa anadhani woe waliofel wapo nyumban

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii ni kwa advance ndo nimesoma tuition but kwa nature ya masomo ya O'level ukisoma huwezi kushindwa kuondoka na division 3
Sikuzote akili haziwezi kuwa sawa. Ndio maana kuna warefu na wafupi, kuna wanaofaulu na wanaofeli.
Ww utaona form four rahis.. wengine wataona ngumu.
Akili, mazingira, mahali wanapopata elimu kunatofautiana.. na hiv vitu vinasababisha matokeo tofauti. Ndio maana shule zingine zinaongoza kwa ufaulu.. zingine zinashika mkia.

Ni science rahis sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nna division 4 ya form 4,mwana nilifeli now nna degree na nipo kwenye kufanya research kwa ngazi ya master +my own company ambayo naiongoza swali kwako mleta mada hyo 1 yako ya form 4 imekufanyia nn?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Na own company.snz...hata shilole anayo
 
Ilikuwa rahisi kwako lakini sio kwa kila mtu mkuu duniani watu tupo tofauti sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo mkuu kufeli O'level ni mipango ya mungu?
Waliofeli sio wote wanapenda. Utofauti wa mazingira.. familia walizotoka, ufundishaji wanaopatiwa..
Hiv vitu vinaleta utofauti sana. Siku zote hakuna kitu kinaweza kuwa sawa.. hiyo ni natural order.
Thats why kunakufeli na kufaulu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka nadhani unajua nature ya maswali ya O'level? Inawezekanaje mwanafunzi akashindwa kujibu mpaka akachora picha za mazombi
Sasa kuchora picha ya mazombi na kufeli ni kitu kingine.
Kuchora huko kule ni uhuni.. na hao wanafunzi wachache wahuni wasikufanye ujumuishe kuwa waliofeli wote wako hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watoto wa sku hizi mapenz tu hakuna usomaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…