inakuaje mnapo anza mahusiano wewe na mpenzi wako hata wiki haijaisha anaanza kukuomba pea na tena m

Ni kama vile what goes around...
mbona wadada siku hizi anakutana na mtu asubuhi, saa 6 keshapiga mzinga mtakatifu, huyo amevumilia wiki moja, mbona ni mstaarabu tu!! ni fair play nadhani siku hizi. si wakina dada tu wa kupiga mizinga, hata wakaka nao wamo! hivyo tuvumiliane bi dada!

Of course anaweza kuwa anajidefend ili na wewe ukifyatua wa kwako anarefer ulivyomfanyia...
Na hilo ndilo tatizo lenu_mkiombwa full kulalama,nyie kwa mizinga hamjambo...nimeipenda sana hii style ya mshikaji i.e unaanza mahusiano na msichana then unamshindilia na bonge la mzinga...akikunyima then ngoma droo_kamwe naye hatakuomba...we call it'defensive mechanism'.

Sawa kabisa..wakati mwingine unaweza ijaribu sumu kwa kuilamba...
Kaomba za kufanyia nini!??
Labda anakupima tu!!!!
 
Sticky to comment printed by BADILI TABIA kimbia dada usigeuke nyuma week ya 1 haewezekani awe anakupima mana hata hakufahamu piga chini
 
Last edited by a moderator:
Prianka, pole dada angu ushauri wangu ww mpe PESA kitu gani nawe ushapenda huwezi jua labda anataka kukupa double ya alichoomba. Kama hupendi wapiga mizinga ni PM nikupe mchongo
 
Back
Top Bottom