comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Inakuaje Mkurugenzi wa mamlaka ya wanyamapori Uganda ndg Andrew G. Sugaya ateuliwe kuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Chuo cha Usimamizi wa wanyamapori Mweka Tanzania? Hebu tujadili Waziri wa Maliasili na Utalii yupo sahihi, amepatiwa au kateleza?