Inakuaje miaka 60 ya uhuru DAWASA hawajalimaliza hata jiji la Dar es Salaam?

Sijui kwa nini huduma ya maji haipewi kipaombele kwa kuzingatia umuhimu wake kwa binadamu!
 
Ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni.

Leo ni miaka 60 ya uhuru lakini Dawasa hadi dakika hii hawajaweza kuyafikia maeneo mengi ya Dar es Salaam.

Hii ni aibu sana na jambo la kusikitisha.

Hivi wanakwama wapi miaka 60 lakini hawajaweza, jee Tanzania nzima lini itakua na access ya maji kwa kila kijiji?

Naona itachukua miaka mingine 60 ndio tufikie Tanzania nzima ikiwa na maana ya jumla ya miaka 120.

Tuna safari ndefu!
Hao ndio ccm chama kilichojaza wezi,mafisadi,wajinga
 
Back
Top Bottom