Jamani wadau wa jf mwenzenu nakereka sana na hii tabia ya baadhi ya watu utakuta limtu asubhi na mapema linapiga mswaki nje tena hadharni kabisa limevaa taulo na mtumbo wake lina tema mikohozi hovyo aghh!
wanaboa hao! kuna wale pia wanaopigia mswaki nje na kutembea hadi dukani huku anaendelea kupiga mswaki, imagine anaongea ongea na watu njiani na kutematema mate hovyo! hadi akarudi nyumbani ameshautafuna mswaki wote! aaarghh
Inakera hii tabia sijui ni ya kisharobaro ya kuvaa earphone huku wanatembea njiani halafu ukija na gari kwa nyuma hata ukipiga honi vipi hawakusikii kwa sauti kubwa walizofungulia, siku zingine me ntakuwa nagonga tu sh....z zao!

wanaboa hao! Kuna wale pia wanaopigia mswaki nje na kutembea hadi dukani huku anaendelea kupiga mswaki, imagine anaongea ongea na watu njiani na kutematema mate hovyo! Hadi akarudi nyumbani ameshautafuna mswaki wote! Aaarghh