Inakera sana!!!!!! Taja kero yako.....

Inakera sana!!!!!! Taja kero yako.....

Inakera umepumzika zako mtu anakuita kwa sauti kama ana shida, ukiitika anakuuliza upo?
 
hahahahaah,,,,,sasa uwe na simu ya kichina uta-scroll hilo li-thread hadi simu ina-stuck.

Ishu sasa ile unafungua thread unakuta wamequote kama wanne,halafu thread lina mipiya,unascroll weeee,picha zikianza kunguka simu inastaki kwanza
 
Ishu sasa ile unafungua thread unakuta wamequote kama wanne,halafu thread lina mipiya,unascroll weeee,picha zikianza kunguka simu inastaki kwanza

Hahahaaah....ni balaa tupu......
 
inakela zaidi pale unanjaa unakwenda mgahawan kuagiza chakula unamuita muudumu anakuja unamuagiza chakula anakwambia yeye hausiki na chakula bali yeye ni wa vinywaji..! unamuita wachakula anabaki nakuja nakuja mpaka njaa inaisha....!?
 
Inanikera tabia ya kutokwenda na muda na uongo, utakuta umepanga appointment na mtu mkutane muda flani me nimefika unampigia anakudanganya ndo nakaribia kufika kumbe hata kutoka kwake hajatoka mxiuuuu inaniboa sana.
Lingine mtu anakupigia au anakubeep namba ngeni unamuuliza samahani nani mwenzangu anaanza lawama ooh!!! Umefuta namba yangu au anaanza kukutongoza wananiboa watu wa hivi.
 
1. Nakerwa na mtu anaekuja kukulia shida umuazime pesa hadi anatia huruma. Ukisha kukopesha sasa, utamdai hadi mtagombana. Na wengine wana majibu ya nyodo kabisa.

2. Utakuta mtu uko na hapa na hapa lkn anakuongelesha kwa makelele utadhani we kiziwi.
 
Duh hili tatizo letu waswahili hatujali mda....hata ukimwambia aje achukue hela mda fulan basi atachelewa lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Hizo lawama atakazo toa dhidi yako sasa, anasahau ulimpa taarifa muda kabla.

Huwa nawaelewesha, akisha tambua kosa, then nam-postpone
 
Ishu sasa ile unafungua thread unakuta wamequote kama wanne,halafu thread lina mipiya,unascroll weeee,picha zikianza kunguka simu inastaki kwanza

Apoapo mtu wakwanza kureply afu amequote
Nishida
 
unapompenda mtu aliyekaririshwa hakuna mapenzi ya dhati, utajuta
 
Back
Top Bottom