Elections 2010 Inakera sana, kila kukicha Dr Kikwete anazidi kuchanja mbuga...

Status
Not open for further replies.

Mboko

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
1,095
293
Inakera sana kila kukicha Dr Jk anazidi kuchanja mbuga wakati mnasafirisha watu kwenye mikutano yake kwa maroli, first of all binadamu hawatakiwa kusafirishwa kwenye malori lkn kwa kuwa CCM na the so called DR JK ni MaDR wa kuchakachua sheria basi mtawababe hao hao mtakaowapata na kumbukeni sio wote watampa kura wengi wao wanataka tu kusafiri kwenda kupoteza muda or naweza sema wanaenda kubadilisha hali ya hewa.

Yaani siku zote JK watu tumechoka tunataka kuona wapinzani especially Real DR Willbroad Slaa(PhD) kwani tunamkubali na sio kutulazimisha kusoma au kuona picha za Kikwete,nimechoka aaaghff.

Chademaaaaa wanatisha kura yako mpe Dr Slaaaaa hata wewe Michuzi usidanganyike!!
 
Mi nilishaacha kublows michuzi blog. Nakushauri na wewe uache tu coz michuzi ni blog yake anaamua nini aweke nini asiweke kama mzee mengi akiamua kujiwekea airtime 10-30mins au hata taarifa nzima awe yeye tu
 
Sina uhakika na unachotaka kusema lakini yaoonekana kama ni malalamiko hay na yana forum yake ya "complaints"
 
Oyaaa wewe acha uzushi wako hujaelewa nini hapo nenda kalale at wewe ni analys kula kona huna issue na mpaka sasa siwezi kublows Michuzi tena na sehemu unayotaka niandike hii issue ni wapi? au unataka nikaandike kwenye mlango wa nyumba yenu kwa kutumia mkaa @analys based in Arusha kwanza ndio nyie wote mnaochakachua kampein za Chadema hapo Arusha kalale mbele huna lolote.
 
Inakera sana kila kukicha Dr Jk anazidi kuchanja mbuga. Yaani siku zote JK watu tumechoka tunataka kuona wapinzani especially na sio kutulazimisha kusoma au kuona picha za Kikwete,nimechoka aaaghff!!
Mboko, kwanza karibu JF, pili hivi umelazimishwa kwenda huko?. Mwacheni Michuzi na blog yake, ileni personal property yake na kuuita globu ya jamii, ni jina tuu kama lilivyo kwanja jamii, JF etc. Hivyo anavyopost ndio kukulazimisha kusoma?.
Mboko, Nakushauri tumia uhuru wako kutembelea blogs zozote na kufuata ile kitu roho yako inapenda, ukiona kuna blogs hupendi, unaachana nazo, mfano mzuri ni sasa umejiunga jf, umekutana na nyimbo kibao na mapambio kuhusu upinzani, baada ya uchaguzi upepo utabadilika sijui kama pia utashauri jf ibadili jina!.
Karibu..
 
MMMMMmmmmmmmmmmmmmmmmm! mchuzi ni kada mzuri wa ccm aliomba nafasi ya udiwani
mtaani kwetu akatoswa, zea4 ni haki yake kuwapigia debeeeeeee hao jamaa wa kuchakachua..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom