Inakatisha tamaa jamani

Inakatisha tamaa jamani

allina

Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
76
Reaction score
13
Hapa ndani akitupia post binti kutaka mchumba coments zinatiririka hadi dah...SASA ngoja atume mwanaume hapo,inaliwa mikausho hadi lah...!kwamba mabinti wao ndo vipi?

waweza kuta (0)wiki zima.

Nasema tu jaman.
 
labda kwa wanaume kunajaa PM tu kutoka kwao( wadada)
 
tatizo nyie wanaume zengwe nyingi mnaleta mapicha picha tu hapa
oooh nahitaji mchumba, mi ni mrefu sasa urefu nani anautaka?
mwaga ulichonacho watu tuzame pm tukiwa na uhakika
 
Wewe mwanaume kwa nini uweke post ya kutafuta wakati ni mtafutwa hujui wewe ni bidha adimu siku hizi kalaga baho
 
tatizo nyie wanaume zengwe nyingi mnaleta mapicha picha tu hapa
oooh nahitaji mchumba, mi ni mrefu sasa urefu nani anautaka?
mwaga ulichonacho watu tuzame pm tukiwa na uhakika

ko uchezee kichapo na kunyanyaswa usiku kucha ila kukicha udrive..utakachokikuta hutakuwa namajigambo nacho ndugu,nenda mkatafte pamoja ili utambe..utatolewa sadaka 1day.
 
Mimi tangazo langu naweka PM, sileti huku

Limeshakufikia?
 
ko uchezee kichapo na kunyanyaswa usiku kucha ila kukicha udrive..utakachokikuta hutakuwa namajigambo nacho ndugu,nenda mkatafte pamoja ili utambe..utatolewa sadaka 1day.

nichezee kichapo kwakuwa mi sijui kukitoa hicho kichapo?
unacheza wewe....
 
dah..!masai dada,mbona ulishatangaza kuolewa hapa?iwaje tena?fanya kutulia na wako mwenza..au sio.

hahahahahnhahahah embu nipe hoyo link ya kwamba nataka kuolewa

unajua kuna tofauti ya boyfriend na mchumba?????
 
Back
Top Bottom