nyasangaboy
Senior Member
- Jul 14, 2020
- 127
- 58
Ile inayotumika kwenye shughuli za ushindiliaji barabara? Kama ndivyo weka mawasilianoHabari zenu jamani .Natafuta roller ndogo ya kukodi eneo la kazi chanika
Kuna kubwa na ndogo sasa mimi nataka ndogo yake unayo?Ile inayotumika kwenye shughuli za ushindiliaji barabara? Kama ndivyo weka mawasiliano
Ya tani ngapi mkuu weka specifications zako vizuri. Ama unahitaji Ku compact final layer isome cm ngapi kaka ama wewe ni just rollerKuna kubwa na ndogo sasa mimi nataka ndogo yake unayo?
Mi ilimradi iwe ndogo nataka compact eneoYa tani ngapi mkuu weka specifications zako vizuri. Ama unahitaji Ku compact final layer isome cm ngapi kaka ama wewe ni just roller
Tafuta mguu Wa nini itakutosha mkuuMi ilimradi iwe ndogo nataka compact eneo
ni mguu wa jini sio mguu wa niniTafuta mguu Wa nini itakutosha mkuu
Hapana mkuuHand roller?
Wewe ni Mkandarasi kweli mbona hata kujieleza hujui?Ukisema roller tu mtu hawezi kukuelewa maana ziko aina nyingi hata kwenye saluni za wadada kuna roller pia.Habari zenu jamani .Natafuta roller ndogo ya kukodi eneo la kazi chanika