Inahuuuuu!!

Inahuuuuu!!

wisenameM

Member
Joined
Jun 9, 2014
Posts
13
Reaction score
1
Shaka cna najua mko poa wana jf.... mada ni hvii... et inahusu mke kujua mshahara wa mumewe ni sh ngap
 
sasa tu laki 5, 6 unamficha mkeo ili iweje...
 
Inahuuuuu sana tu,huyo ni sehemu ya mwili wako utaufichaje??
 
To me its not a big deal japokuwa huwa ananiambia ila hata asiponiambia pia sioni tatizo.
 
ni sawa mke kujua kipato cha mumewe na mume ni sawa kujua kipato cha mkewe unaongelea ndoa hapo si u boy friend & u girl friend
 
mshahara wenyewe unaisha hata kabla haujatoka...
Mikopo, salary slip inasoma negatiye. Unaficha nini.??!!??
 
Kama inahusu mke kujua mshahara wa mume, je, pia inahusu mume au mke kushika simu ya mwenzake?

Au mshahara unahusu lakini simu haihusu?

Haya mahusiano ya siku hizi ni pasua kichwa sana.
 
nyie ni mwili mmoja mnategemeana kama mapacha walioungana lazima ajue
 
Kama inahusu mke kujua mshahara wa mume, je, pia inahusu mume au mke kushika simu ya mwenzake?

Au mshahara unahusu lakini simu haihusu?

Haya mahusiano ya siku hizi ni pasua kichwa sana.

Hapo kwenye simu mhusika anairukia kama anadaka kombe la dunia.
 
Back
Top Bottom