Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,887 Sep 15, 2012 #1 Wakuu.......nimekutana na hii kitu na ninaona inatangazwa sana kwenye mitandao........inahusu nini....?
Wakuu.......nimekutana na hii kitu na ninaona inatangazwa sana kwenye mitandao........inahusu nini....?
MaxShimba Platinum Member Joined Apr 11, 2008 Posts 36,008 Reaction score 4,093 Sep 15, 2012 #2 Inahusu Faru kwenda Mwanza na Arusha
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,887 Sep 15, 2012 Thread starter #3 Mbuzi Mzee said: Inahusu Faru kwenda Mwanza na Arusha Click to expand... waje basi....mbona wanakawia.........
Mbuzi Mzee said: Inahusu Faru kwenda Mwanza na Arusha Click to expand... waje basi....mbona wanakawia.........
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,321 Reaction score 103,591 Sep 15, 2012 #4 wanakuja kwa barabara
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,887 Sep 15, 2012 Thread starter #5 andybird314 said: wanakuja kwa barabara Click to expand... watakuwa wamefika wapi.......?
Domhome JF-Expert Member Joined Jun 28, 2010 Posts 3,198 Reaction score 3,975 Sep 15, 2012 #6 Mombo...kwa wale wanaopelekwa Arusha...Nzega kwa wale wanapelekwa Mwanza.
Daffi Jr JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 3,824 Reaction score 909 Sep 15, 2012 #7 Niliona mabango viunga vya Arusha hasa kwenye ma'bar'!Nahisi ni aina mpya ya bia.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,321 Reaction score 103,591 Sep 15, 2012 #8 wale wa Uingeleza walikuja na ndege ya DHL wakashukia pale KIA wakaja na chakula chao kuotka UK heheheh wazungu wanapenda wanyama sema chakula kilikuwa cha mwezi tu
wale wa Uingeleza walikuja na ndege ya DHL wakashukia pale KIA wakaja na chakula chao kuotka UK heheheh wazungu wanapenda wanyama sema chakula kilikuwa cha mwezi tu
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,504 Reaction score 6,199 Sep 15, 2012 #9 au ndo wale faru wa JK aliosema watapewa ulinzi kuliko yeye..
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,991 Reaction score 5,234 Sep 15, 2012 #10 Ni Faru huyuhyu ninayemjua mimi ama..??Maana kiswahili siku hizi mnh...
tatanyengo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2011 Posts 1,133 Reaction score 282 Sep 15, 2012 #11 Kuna dawa ya kuongeza nguvu za kiume inaitwa kwa jina hilo, huenda ikawa hiyo inayokwenda Mwanza na Arusha.
Kuna dawa ya kuongeza nguvu za kiume inaitwa kwa jina hilo, huenda ikawa hiyo inayokwenda Mwanza na Arusha.
MaxShimba Platinum Member Joined Apr 11, 2008 Posts 36,008 Reaction score 4,093 Sep 15, 2012 #13 Preta said: waje basi....mbona wanakawia......... Click to expand... Naona kama ndo wanashushwa vile