Inahitajika VITZ New Model 1290. Budget 6m hadi 7m

Inahitajika VITZ New Model 1290. Budget 6m hadi 7m

Kama tangazo linavyosema cc 1290 jamani kutoka kwa mmiliki halali pesa ipo.mfuko wa shati 6 hadi 7 gari isiwe.mbovu tu maana mm.mwenyewe mtaalam

0678096545
Nakupa connection humu yupo kiumbe anaitwa Luca,msimu umemwia mgumu mafungu ya posho imekuwa tabu anako ka vitz kake namba D.Ameamua kukatoa avuke huu msimu mgumu,zaidi alipata boda ya kijani ndio maana kapata jeuri!
 
Hebu niconect nae mkuu anatumia id.gani
 
Vitz new model ukimaanisha model ya 2026?

Ni bora ukaandika unahitaji vitz model ya mwaka xxxx kuliko hicho ulichoandika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom