Ujui kitu wewe nipo ninauzoefu na hii industry boss.Labda kimeo...kwa hela hyo huwez pata yenye ram 4
Sawa mkuu...ulikuwa ushauri tu!Ujui kitu wewe nipo ninauzoefu na hii industry boss.
Kwani ram ni kitu gani mkuu??mbona inapatikana sana tuSawa mkuu...ulikuwa ushauri tu!
Nishauza Ram 8GB, hdd 500, betrry hadi 4h kwa 320,000/= tu sasa sijui unachobisha nini hapa ndipo wanasema yangoswe muachie ngoswe.Unataka ram 4GB na 2hrs charge? Sijui kama utapata? Kwa hiyo laki 3
Ninayo Asus 2gb ramRam 4gb
Hdd 500
Bettry atleast 2h, isiwe na tatizo.
Offer 300,000/= ninayo.
NB: Iwe Dar es salam