Inahitajika haraka: Flat TV Screen 22" kwa Dar.

PistolGang

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
392
Reaction score
44
Iwe Samsung, LG au Sony, used yenye hali nzuri LED/PLASMA. Budget 250k., kama unao mzigo type hiyo kwa bei hiyo weka no. yako nkupigie au PM. Asante
 
ipo inch 23 samsung series.4 bado ina waranty ya mwaka.1 na nusu bei 290 mwsho..uktak na wall mont mpya hazjafungliwa..npe 310..
 
Back
Top Bottom