Inahitaji ujasiri kununua gari kama hii

Sio kila mtu yuko interested na hizo tech,sa hivi kuna wazungu kibao mitandaoni wanalalamika wame-miss kuendesha gari kama gari(No ABS,powerwindow,Parking assistant,Camera za nyuma,ma infotainment,Gps,
Lane change assist technology, inshort wamechoka na haya magari ya kisasa yaliyojazwa takataka nyingi.
Kweli lakin hapa tunaongelea kwa watu wengi na sio hao wachache ambao unataka kuwainclude.
Mfano mzuri wewe kwasasa hivi unaweza agiza hiyo gari from japan ?????? Halafu uache option za magari mengine ?
 
Ninayo moja ambayo ni Starlet gt turbo ep 82 ni safi sana ndugu mtoa mada, nimekuwa na gari tofauti kama vile Cresta Gx 100, Mark 11 grand, vitz, Carina nk lakini zimeikuta na zimeondoka na hiyo ipo pale pale.

hilo li cresta gx mia nililiuzaga lilianza kumeza kiwese kama tumbo inavokula bia...
 
Kweli lakin hapa tunaongelea kwa watu wengi na sio hao wachache ambao unataka kuwainclude.
Mfano mzuri wewe kwasasa hivi unaweza agiza hiyo gari from japan ?????? Halafu uache option za magari mengine ?

Siwezi kuagiza Starlet sababu sina mzuka nayo mkuu,lkn kama uwezo upo naweza kuagiza gari kibao za miaka hio zisizo na hizo tech mfano.Toyota (MR2 1982,Publica 1970),Nissan(bluebird 1970,Datsun 1972),Mazda Cosmo 1968 etc bado sijaja huko Germany ziko nyingi tu.

Mi ni car enthusiast mkuu,hizi tech mpya hazinipi mzuka wowote.
 
Nimekupata mkuu hata mimi ni kama wewe pia ni car enthusiast nipo kule team cruiser
 
Back
Top Bottom