SECRET AGENT
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 254
- 499
Thanks kwa ushauri wako wenye manufaaJaribu kuomba kuongezewa
Kwanjia ya oral/verbal Kama ina ruhusiwa na inawezekana
Officially
Andika hata barua convicing one kwa director wako mshawishi juu ya nyongeza
All d best
Asante mkuu kwa ushauri, na je hapo boss hawezi kuona kama umemuwajibisha hivi au umemshitakitafta msaada kwa wasomi wanaohusika na kusimamia wafanyakaz na stahiki zao..Humu utapata majibu ila sio majib sahihi..
Hahahah, Mkuu uliomba ongezeko kubwa ili uachane naoNilitumia hicho kigezo ili kuachana nao
wakaniambia hawawezi
ikawa ndio mwisho ya wao kuniajiri
Nipo zangu naingiza miziki huku kwenye memory card
haswaaaaHahahah, Mkuu uliomba ongezeko kubwa ili uachane nao
Asante mkuu kwa ushauri wakoNakumbuka miaka 37 iliyopita nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni moja ya wazungu
Baada ya miaka 5 nikiwa nachapa kazi nikaongea na mmoja wa directors na kuhusu mshahara
Akaniambia bila kuuliza hutapandishiwa
Ndipo nikamwendea MD mwenyewe na alikubali kuniongezea
Kuna makampuni wanafurahi hata ukifanya bure ili wao wafaidike
Pia kufungua biashara yako mwenyewe sio wazo baya ila uwe makini sana na sheria
Ingawa kuna wengine huwa wanafanikiwa na wengine kufeli
Nakuombea kila la kheri
Ila ni haki yako kuuliza kupandishiwa mshahara na sio dhambi
Kama anakuhitaji atakuongezea
Asante mkuu kwa ushauri wako
Nimeajiriwa katika kampuni (private sector), Nafanya kazi kwa bidii sana mpaka boss mwenyewe anaona kwamba kweli napiga kazi na kazi nazofanya zinaingiza pesa na kusifiwa na wateja pia lakini tangu niajiriwe mshahara haupandi na naona ni mdogo sana ukilinganisha na kipato kinachoingia kupitia bidii zangu, muda mwingine natoka kazini usiku nikimalizia kazi za wateja, lakini Bado boss hagusii kabisa suala la kuongeza mshahara. Mbali na hapo elimu yangu ni level ya shahada, ingekua nina elimu ndogo labda ningesema kwa sababu ya kiwango changu cha elimu ndiyo sababu.
Nimekuwa na mawazo ya kujibana nifungue business yangu kwani Nafanya kazi nikiwa na hasira moyoni mwangu. Hasira hiyo inakuja pale ambapo waajiriwa wengine ambao nawazidi mbali kiujuzi na kitaaluma tupo level moja ya mshahara na wengine wamenizidi. Nina bidii na heshima sijawahi kukwazana na boss.
Je ni busara kuomba kuongezewa mshahara au laa naomba ushauri wenu
The same to meNilitumia hicho kigezo ili kuachana nao
wakaniambia hawawezi
ikawa ndio mwisho ya wao kuniajiri
Nipo zangu naingiza miziki huku kwenye memory card
Hili pia lilinikuta Mimi kwenye kampuni fulani,Nimeajiriwa katika kampuni (private sector), Nafanya kazi kwa bidii sana mpaka boss mwenyewe anaona kwamba kweli napiga kazi na kazi nazofanya zinaingiza pesa na kusifiwa na wateja pia lakini tangu niajiriwe mshahara haupandi na naona ni mdogo sana ukilinganisha na kipato kinachoingia kupitia bidii zangu, muda mwingine natoka kazini usiku nikimalizia kazi za wateja, lakini Bado boss hagusii kabisa suala la kuongeza mshahara. Mbali na hapo elimu yangu ni level ya shahada, ingekua nina elimu ndogo labda ningesema kwa sababu ya kiwango changu cha elimu ndiyo sababu.
Nimekuwa na mawazo ya kujibana nifungue business yangu kwani Nafanya kazi nikiwa na hasira moyoni mwangu. Hasira hiyo inakuja pale ambapo waajiriwa wengine ambao nawazidi mbali kiujuzi na kitaaluma tupo level moja ya mshahara na wengine wamenizidi. Nina bidii na heshima sijawahi kukwazana na boss.
Je ni busara kuomba kuongezewa mshahara au laa naomba ushauri wenu
ahhhaaa...!!!,kumbe ndio weweeee!!!-sasa ngoja nikufate officen kwako nimeshakujuaPole mkuu, kumbuka si wewe, mimi nafanya kazi na kampuni moja, kibaya zaidi nalipwa pesa ndogo sana (300k) kwa mwezi na bado kuna makato, nimewaomba waongeze naona wapo kimya hivi natafuta mbinu za kukimbia ndani ya mwezi ujao tu. Hakika nitaondoka maana nafanya kazi kwa shida yaani mtu unakuta kuna kipindi hata hela ya kula inakata!
Ugonjwa wa private sector huo unanitesa sana,dawa ni kutia bidii tafuta kwingine. Waajiri wengi hupenda watu wenye juhudi lakini wao kumjali maslahi hawana....Nimeajiriwa katika kampuni (private sector), Nafanya kazi kwa bidii sana mpaka boss mwenyewe anaona kwamba kweli napiga kazi na kazi nazofanya zinaingiza pesa na kusifiwa na wateja pia lakini tangu niajiriwe mshahara haupandi na naona ni mdogo sana ukilinganisha na kipato kinachoingia kupitia bidii zangu, muda mwingine natoka kazini usiku nikimalizia kazi za wateja, lakini Bado boss hagusii kabisa suala la kuongeza mshahara. Mbali na hapo elimu yangu ni level ya shahada, ingekua nina elimu ndogo labda ningesema kwa sababu ya kiwango changu cha elimu ndiyo sababu.
Nimekuwa na mawazo ya kujibana nifungue business yangu kwani Nafanya kazi nikiwa na hasira moyoni mwangu. Hasira hiyo inakuja pale ambapo waajiriwa wengine ambao nawazidi mbali kiujuzi na kitaaluma tupo level moja ya mshahara na wengine wamenizidi. Nina bidii na heshima sijawahi kukwazana na boss.
Je ni busara kuomba kuongezewa mshahara au laa naomba ushauri wenu
Hii ndio njia sahihi ya kufanya.Nilipitia same situation, nikaomba waongeze wakagoma. Nikatafuta kazi nyingine kimya kimya, nilivyopata nikawapa resignation letter. Wakasema tukae mezani tujadili waongeze kiasi gani, nikawaambia Asanteni Ninashukuru.
Utatupatia mrejesho mkuu,Nimeajiriwa katika kampuni (private sector), Nafanya kazi kwa bidii sana mpaka boss mwenyewe anaona kwamba kweli napiga kazi na kazi nazofanya zinaingiza pesa na kusifiwa na wateja pia lakini tangu niajiriwe mshahara haupandi na naona ni mdogo sana ukilinganisha na kipato kinachoingia kupitia bidii zangu, muda mwingine natoka kazini usiku nikimalizia kazi za wateja, lakini Bado boss hagusii kabisa suala la kuongeza mshahara. Mbali na hapo elimu yangu ni level ya shahada, ingekua nina elimu ndogo labda ningesema kwa sababu ya kiwango changu cha elimu ndiyo sababu.