[Inaendelea] Polisi inawakamata viongozi CHADEMA

Niamini falsafa yako ni ipi, ni hii ya kwenye post yako au ya kwenye Avatar yako na Signature yako? a bit confusing

Human salvation lies in the hands of the creatively maladjusted - MLK Jr
 
Asante kwa kazi njema wanataka kutuchafulia jiji hao peleka segerea
Segerea ni mahali wanapokaa watu hivyo hakuna ambaye anaogopa,tueleze usafi wako maana inaonekana mara ya mwisho kuoga ilikuwa mwezi uliopita kabla hujajiunga hapa.Wao na wewe nani mchafu?
 
Good News! Polisi endeleeni kutimiza wajibu wenu tuna taka amani!
Unapata amani wapi wakati hata mlo wako wa siku ni mashaka?Wajibu wa Polisi ni kukamata wafuasi wa Chadema tu na wala si majambazi,mafisadi,wafuasi wa CCM?
 
Nanyie dar mmezubaa sana labda mtaamuka sasa munajidai wajanja kumbe ndo mmepigikaaa kuliko, huenda polisi wa dar wana wasaidia muamuke muunge mkono mabadliko kama wenzenu wa ar, mza, mby,shy,irng, mara, mosh nakwingineko ambako wtz wenzenu walisha weka kapuni chama cha magamba na polisi pia wana taka mabadiliko.

kama hamjui sasa.Mbona sisi Mwanza hawatupigi siku hizi, tuko nao poa tu na tulilinda kura zetu mwaka jana na ushirikiano ulikuwa wa kutosha tu toka kwao?
 
Serikali haitavumilia uhalifu wa aina yoyote ile unaofanywa na Chadema.

Kama wanahisi wameonewa, sheria zipo wazi, waende mahakamani.
 
Jamani jambo la msingi ni hawa polisi kuelewa ni nn WTz wanahitaji kutumia nguvu kupita kiasi hakusaidii tazama misri walitumia nguvu lkn matokeo yake yalikuwaje?
 
Waende mahakamani wakamshitaki nani? serikali ni pamoja na wewe na kama ni akina baba riz 1 nk wanakinga wacha ku camerooniwa uzeeni

Serikali haitavumilia uhalifu wa aina yoyote ile unaofanywa na Chadema.

Kama wanahisi wameonewa, sheria zipo wazi, waende mahakamani.
 
?History will judge us and our foes''
Utafika mda,tarehe,siku,mwezi,mwaka mbivu na mbichi zitatofautishwa
let them ignore the warnings of changes.
 

JF bwana! Posted by Mafie, deleted by Rider !
attachment.php


 
pamoja na polisi kuomba chadema isitishe maandamano kuruhusu majadiliano leo na chadema kukubali. Polisi inapita ikikamata viongozi wa ngazi ya chini wa chadema. Wamemkamata diwani wa kimara Manota na kada Donald wanaelekea kuwapeleka kituo cha polisi kisichojulikana,

Ufuatiliaji unaendelea

Tutawajuza zaidi kinachojiri

WARNING...

Kwa yeyote anayewatia polisi kiburi na ujinga wa kunyanyasa watu wanaotetea maslahi ya Taifa..... akumbuke askari wa Iddi Amin na Wa Zaire ya Mobutu........ Wale jamaa walitiwa kiburi hadi wanavuta bangi na kuiba madukani mchana kweupe...... Walioumia ni wale waliokuwa wanasherehekea kiburi cha mwanzo wa hao maaskari...!!! Nyie mnao furahia wenzenu wanyanyaswe..... jua kuwa mtu akishakula nyama ya mtu haachii ya jirani yako tu.... iko siku atatakakuonja na yako.....!!!
Si utabiri ni from the experience....!!!
 
JF habarini.

Kwa mda mrefu nilikuwa nikijiuliza kwa nini maofisa na watendaji mbalimbali wanaonekana dhahiri kukipendlea CCM. Nimekuwa nikifanya utafiti huu kwa mda mrefu, tangu 2006 nilipoanza kufuatilia hbr za siasa kwa kuwa nilitambua kuwa ukiwa na nguvu za kisiasa kila kitu kwako kitawezekana.

Mzee mmoja aliyestaafu akiwa ni Ofisa wa serikali aliamua kunipa majibu ya ukatili wa watendaji wenye uwezo wa kusema kitu kikasimamiwa hata kama kisheria na kiutaratibu kiko hovyo.

Hapa nawazungumzia WAKUU NA MAAFISA MBALIMBALI WA MAJESHI (JWTZ, POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI); WAKURUGENZI WA HALIMASHAURI, MIJI, MANISPAA NA MAJIJ NA WATENDAJI WALIOKO CHINI YAO NA WAKUU WOTE WA TAASISI ZA SERIKALI NA MAMLAKA MBALIMBALI ZA SERIKALI VIONGOZI HAO LAZIMA WASAINI NA KUKUBALIANA NA MKATABA HUU.




THE GOVERNMENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA


DECLARATION REGARDING RESPONSIBILITY UNDER THE OFFICIAL SECRET ORDINANCE AND REGARDING MEMBERSHIP OF POLITICAL ASSOCIATION.




APENDEX Q/11 (SEE GENERAL ORDERS Q:22 AND Q.2.1.

1. My attention has been drawn to the provisions of the Official Secrets Ordinance. Cap.45 of the laws whichi are set out on reverse of this form and I am fully aware of the serious consequences which may follow any breach of such provisions.

2. Understand also that these processions apply not only during the time of employment but also after employment with the government of the united republic has ceased. I understand also that, all information which I acquire pr to which I have access owing to my official secrets official secrets ordanance and that it would be a contravention of the ordinance for me after I have left the service of the United Republic.a) To public without authority any such information in any form. Whether orally or in any document articles, books, lay, film or otherwise in this country or abroad, OR (b) To communicate without lawful authority any such information to any other person whether or not in service of the Republic.

3. I further undertake on leaving the service of of the republic to surrender any sketch, plan, model, article, note or document made or acquired by me in course of my official duties.

4. I have been made aware that CIVIL SERVANT who are eligible may become members of the Tanganyika African National Union (TANU) and the Afro-Shiraz Party (ASP) {now CHAMA CHA MAPINDUZI-CCM} and not of any other political organization.

5. I here by sole my declare that I am not a member of any other political organization at present and shall refrain from associating myself in any way the activities of such organsation so long as I remain in service of the United Republic.

Station…………………………………………………………………………….. Signature……………………………………………….
.................................................. .......................


(Name to be written in block capital letters in full here)







Date……………………………………Designation………………………………
Countersigned………………………………………………………
Principal secretary/Head of Department
Regional Administrative Secretary.

My take ni kwamba, tunapohitaji katiba mpya, lazima vipengele vitakavyosaidia kupatika kwa watendaji katika idara mbalimbali, wapatikane si kwa uteuzi bali uwepo mfumo rasmi wa kuwatambua ili wakipata nafasi hizo watumikie umma na si vyama kama saa izi.

VIONGOZI WA MAJESHI, TAASISI, MAMLAKA, TUME ZA UCHAGUZI WOTE WAMEBANWA NA MAKATABA HUO, HIVYO TUSITEGEMEE IPO SIKU TUTAJIKOMBOA. HAKUNA PA KUTOKEA, WAMEJAA KILA KONA.


NAWASILISHA KWA MJADALA NA MAONI
Last edited by ntamaholo; Today at 11:17.​
Nimeisoma Mkuu!

Niwape siri iliyowazi............... Hawa manjagu hawawezi kuelewa hivyo vipengere...... wanasaini kwa furaha ya kupandishwa vyeo..... bila kuelewa maana yake..... wakisha saini ndipo wanatafsiriwa baadaye, hapo ndo ngoma huanza..... (refer votes zao 2010)....!!!!!!!!!!!!!

kama nimeongopa nisahihisheni.....!!
 
Jamani mwenye ile email aliyoandikiwa Kikwete ani PM ni mpe email yangu anitumie. jana jioni nilibahatika kuisoma lakini baadae wakuu wa jamvi wakaiondoa naomba mwenye nayo ani PM
 
Back
Top Bottom