Inachukua muda gani kuitwa interview TAESA?

lee jack

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
922
1,436
Habari zenu wakuu,

Iinachukua muda gani kuitwa interview TAESA baada ya kufanya registration.

Shukrani
 
Habari zenu wakuu,

Iinachukua muda gani kuitwa interview TAESA baada ya kufanya registration.

Shukrani
mkuu wanaanza na training je umeishafanya kama bado na unanamba ya registration nimeona kuna training taree 25 wanataka watu kama 200 nenda kabook bila kobook hawawezi kukuita kamwee mzee changamkia fursa mpaka muda huu kati ya watu 200 wameomba 17 tu
View attachment 2726812
 
Naomba mwongozo namna yakujiregister na Mfumo wa taesa wakuu
ingia kwenye web ya www. taesa.go.tz halafu ingia seehemu iyo taesa jobs gateway fuata maelekezo
Screenshot_20230823-230226.jpg
 
Nimefanya yote watakayo ila bado chalii mwaka sasa

Wengine wajuzi wanatoboa
 
Nashukuru mkuu nimefanikiwa kubook training nimetumiwa email nikachek tena kweny web Yao nikakuta ivView attachment 2732932 naomba kuelewesha zaidi hapo mkuu na nyingine hii👇

View attachment 2732933
Mwanza taesa ofisi zao si unazijua mkuu, sasa hakikisha unafika hapo, zingatia tareh 30-31 training itafanyika ni vema ungewapigia simu wakwambia tarehe exactly , maan mm nakumbk nilibook leo, kesho nikaend wakaniambia kesho kutwa yake..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom