To think pamoja!
Kabla hajafa mumewe,jk alizuiwa kwenda majuu siku Moja kabla!akaenda msibani!Leo kuna tetesi ya kuugua Kwa JK!
Chalamila nae nasikia anaumwa!!
Sasa kifo cha mumewe!?kilikua makutano ya engine kupatwa!!?
Wakati huo huo warioba nae hati hati,aligeuka kwanza kana kwamba Kuna kitu alihisi sio sawa then akadondoka!!
Kuna sequence za taarifa na matukio unaweza Dhani ni planned hii ni baada ya nchimbi kupigwa tukio na yule mbunge kuanzisha kampeni ya mama kuchaguliwa tena 2030!!
Wala hajaanguka jk, ila huwa anatengeneza propaganda na kutaka attention kutoka kwa watanzania,
Hata mwaka jana alitumia watu wake kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi wakatengeneza video eti sura kama mgonjwa wa ugonjwa fulani.
Eti mtoto wa mjini, hana lolote hadi RA ampe mbinu