Inachezwa chini ya maji mno



"Sauti hazitasikika mapema! Walio nje ya maji watasikia Mlio baada ya samaki woote kuusikia" ....

80 YEARS LATER ....

🚮🚮🚮🚮🚮
 
Binadamu wengi wana uraibu wa aina fulani unaofanya akili isifanye kazi yake kwa kiwango kwenye baadhi ya mambo..wewe unayo hii hali hata km hujui uko nayo.
And your research is based on single comment from there unakuja na na weak conclusion ?

Nigga pls, huna unalolijua. Historical event zinajirufia again and again, the difference ni trigger factor
 
Yaani wale wafanya vurugu wangekua na silaha wangeshinda,nyi watu vyombo vya Dola mnavichukuliaje?!..yaani raia uwe na AK 47 ushindane na na snipers na kikosi maalum Cha tiss Cha kupambana na ugaidi,jwtz,polisi!?..mtakufa kifala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…