Ni samehe Bacha,yani ndo hayo inabidi nifundishwe na kungwi kabla ya ndoa,niache kuzungumza mambo ya ndani....sawa thats between me and you but do not ask that.:embarrassed:
ni sanaa tu na ufundi wa lugha. the word woman is not an abbreviation, a woman as a person remains to be a woman in reality, a co-partner of man everyday (day and night) to the end of the ages
Karibu sana,hakuna anayependa kubadili kama anapata taste ambazo ndo anazifuata huko nje so kama unaweza kunipa zote mwenywe,mi ntafurahi sana.Ila zisiwe kinyume na maumbile,manake wanaume wa siku hizi bwana???????????
Jamani wandugu, nami japo mgeni naomba nichangie, mie kwa mtazamo wangu, unapashwa ujiamini kwanza na pia kama hauridhiki na kile ukipatacho hauzuiwi bwana kutafuta raha uipendayo maana utamu wa muwa aujuaye mtafuna na utamu wa mwanamke au mwanaume ajuaye ni mlaji au mliwa( if u do me i do u) hapo ndo utajua utamu.
mie nakuachia kwani weye wajua utamu upatao unapo du na mtu