Ina maana hana taarifa za utekaji?

Ina maana hana taarifa za utekaji?

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,092
Reaction score
1,917
Hotuba nzima sijaskia suala la utekaji likizungumzwa licha ya kuwa moja ya ajenda kuu za watu walioandamana siku ya Uchaguzi

Ameongelea katiba Japo majibu hayaridhishi ila walau ameongelea

Ameongelea Serikali iliyopo kung'oka madarakani, kimsingi sijaridhika na alicho sema ila najua ilikuwa lazima aseme alichosema kama Raisi

Kama kiongozi wa juu hupaswi kulili huruma za watu lazima uwe mbabe ili udefine power yako ..

ila sijaskia akiongelea utekaji wala waliopotea kwa kutekwa akiwemo Pole pole

Hii kitu inanitia sana huzuni na mashaka. Kwanini hili swala linazidi kushika kasi na hawaliongele kabisaaa

Sio Raisi. Sio mawaziri hawataki kabisa kuligusa. Why?
 
Mnapanga matukio yenu na mkitegemea aingie kwenye ubadharuli wenu?
 
Ateke, atese na kuua yeye halafu awe hana taarifa?

Anaweza kuwa kapoteza kumbukumbu ya idadi kwa sababu ni wengi sana.
 
Hotuba nzima sijaskia suala la.utekaji likizungumzwa licha ya kuwa moja ya ajenda kuu za watu walio andamana siku ya uchaguzi

ameongelea katiba , Japo majibu haya ridhishi ila walau ameongelea..

ameongelea serikali iliyopo kung'oka madarakani , kimsingi sija ridhika na alicho sema ila najua ilikuwa lazima asene alicho sema kama Raisi ..

Kama kiongozi wa juu hupaswi kulili huruma za watu lazima uwe mbabe ili udefine power yako ..

ila sijaskia akio gelea utekaji wala walio potea kwa kutekwa akiwemo Pole pole ..

hii kitu ina nitia sana huzuni na mashaka kwanini hili swala lina zidi kushika kasi na hawaliongelea kabisaaa ..

sio Raisi ,sio mawaziri hawataki kabisa kuligusa why? ..
Unategemea agusie utekaji ambao unafanyika kwa maagizo yake mwenyewe?
 
Hotuba nzima sijaskia suala la.utekaji likizungumzwa licha ya kuwa moja ya ajenda kuu za watu walio andamana siku ya uchaguzi

ameongelea katiba , Japo majibu haya ridhishi ila walau ameongelea..

ameongelea serikali iliyopo kung'oka madarakani , kimsingi sija ridhika na alicho sema ila najua ilikuwa lazima asene alicho sema kama Raisi ..

Kama kiongozi wa juu hupaswi kulili huruma za watu lazima uwe mbabe ili udefine power yako ..

ila sijaskia akio gelea utekaji wala walio potea kwa kutekwa akiwemo Pole pole ..

hii kitu ina nitia sana huzuni na mashaka kwanini hili swala lina zidi kushika kasi na hawaliongelea kabisaaa ..

sio Raisi ,sio mawaziri hawataki kabisa kuligusa why? ..
Hata mashehe hawataki kuligusa
 
Back
Top Bottom