In tz, no one is responsible

nahavache

JF-Expert Member
Apr 3, 2009
871
246
Hivi kwanini Tanzania hakuna utamaduni wa kuwajibika mtu unaposhindwa kazi? Angalia matokeo ya form four: Matokeo ya ajabu sana haya. Division one: 5,363, Divison two: 9,942; Division three: 25,083; Division four: 136,633 na Division zero: 177,021. Yet, nobody is asked kwanini iwe hivi? Unajua matokeo ni mabaya na hapa wamefeli hata kama biashara ya shule za VODA FASTA isingekuwepo. Dowans: NO ONE IS RESPONSIBLE, Rada: NO ONE IS RESPONSIBLE, Umeme wa mgao: NO ONE IS RESPONSIBLE.
Does is means all mess we see in our country, NO ONE IS RESPONSIBLE?????
 
Hata wewe unatakiwa kuwajibika kuitoa CCM madarakani. Kuandika thread tu hakutoshi, kama una machungu na maovu ya watawala hawa madhalimu ili taifa linusurike!
 
Hata wewe unatakiwa kuwajibika kuitoa CCM madarakani. Kuandika thread tu hakutoshi, kama una machungu na maovu ya watawala hawa madhalimu ili taifa linusurike!

hapa nilipo nilifanikiwa kuwabadilisha wanakijiji wenzangu huko Hai na kuibwaga CCM ubunge, baada ya kuwaeleza kiundani zaidi walivyofanya makosa kumchagua diwani wa CCM. Imenigharimu sana zaidi ya dola 1000 kupiga simu tuu kila wakati na siyo kwa gharama au mtu anirudishie. Nipo karibu nao na tutakwenda na kubanana.
 
Back
Top Bottom