In theory, ongezeko la bei ya umeme lingeinufaisha Zbar!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,784
Hivi karibuni TANESCO ililipunguzia bei ya umeme shirika la umeme Zanzibar, ZECO ili limudu kujiendesha kiutendaji. Sasa lile punguzo la bei in some ways lazima lifidiwe na the 'best' way ya kufidia ilikuwa ni kuongeza tarrifs kwa watumiaji wa bara.

So kwa wa Zanzibar kutumbuliwa kwa Mramba ni kama pigo kubwa. Huyu ni kama alikuwa mtetezi wao aliyejitolea kuwapa umeme 'bure'.
 
Back
Top Bottom