In Pictures: This is Where Mukono ,Uganda Women Urinate

In Pictures: This is Where Mukono ,Uganda Women Urinate

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,335
Mukono Women have turned bar stores into urinals.
On New Year’s Day, our snoops bumped into several women urinating in bar stores and kitchen at Satellite beach bar in Mukono.

This act means that the levels of Sanitation in Mukono district are very low and this puts lives of several people in danger.
Several diseases like Cholera, Dysentery, Bilihazia, Diarrhea and many more are likely to break out if action is not quickly taken.
Below are some of the pictures that were taken by our snoop Amon T Buwembo







wenye bar muwe mnazingatia kujenga msalani nzuri
 
moneystunna upo? moja hapo ina mipunye balaa
 
Huyo mwenye kijani naye ni binti? ya pili kutoka mwisho au ndio muhudumu wa hiyo sehemu?
 
Hivi hili gazeti la red pepper bado lipo? Hatareee sana hili gazeti. Tz lingepigwa BAN kitambo.
 
Asante kwa Uhuru wa kuelezwa na kueleza habari... Hiyo si udhalilishaji ila itasaidia kurekebisha mambo ya huyo muwekezaji...
 
yml9F4Vd 5Vd wf8D5Cv37m5LCu4AAAAASUVORK5CYII=


Asavali hao wamefika chooni ila choo chenyewe si rafiki... hawa nao hata kichakani kidogo?! Au mijusi na wadudu wamewatishia?
 
Yaani akishikwa,anashikamana hapohapo.Hatafuti faragha stahiki,duh!

Asavali hata hawa wamejitahidi kutafuta choo, ila choo chenyewe si rafiki. Na hawa je, hawakuweza hata kuingia kichakani kidogo... au mijusi na wadudu wanaogopesha?!

wasafiri wakijisaidia.jpg
Ni ataree!
 
Hawa ni zaidi ya ma la yaaa ni mrayaaaa
 
Huyo mwenye kijani naye ni binti? ya pili kutoka mwisho au ndio muhudumu wa hiyo sehemu?

Nami nimejiuliza! Nadhani hii pub kuna ufuska huwa unaendelea tena uliopitiliza. Naona vikojozzi wako nae poa tu kwamba wamewazoea. Nimesema hivi nikimaanisha huyo ni Me, kama ni Ke, nafuta kauli.
 
Kuna pub moja Kinyerezi Dar, nimewahi enda mara mbili tatu hizi. Nilienda mara mbili usiku na nikaja kwenda siku moja mchana na rafiki yangu. Mida ya usiku nilishangaa wanawake kwa waume wakienda kukojoa yalipopaki magari, na wala si mbali na wanapokaa wateja. Kama mjuavyo, pubs nyingi siku hivi ni open space na watu wanakaa hadi kando kando ya barabara. Sasa siku nimeenda mchana, nikamkuta kijana mmoja anauliza, mbona hapa kwenye pub yenu ina vishimo vishimo vingi sana ardhini? Manager akadai eti wadudu ardhini, kumbe jets za mikojo. Yaani ni vijishimo ardhini utadhani kuna fukufuku ardhini.
 
Back
Top Bottom