In Pictures - Nargis Mohamed's Wedding

All the best in her new life,she is good and bright and once more I wish her all the best cause she was my student at Esacs Academy.
 
Kuna uwembamba mwingine du.ila kama ni asili poa,kama wakujitakia du hatari mifupa tu
 
Hhheeey jamani.. wamemvua nanii yak.. oooh sorry kumbe harusi.. ah huku sijui wapi tena, ah wacha nirudi zangu Igunga
 
Nadhani siku hizi watu wanaolewa kwa ajili ya Sherehe tu maisha yenyewe ya ndoa yakianza kubana utasikia nataka Taraka yangu
 
Kuna uwembamba mwingine du.ila kama ni asili poa,kama wakujitakia du hatari mifupa tu

Mwanawane umeonaeeee......ni noma!
Hamna ushirikiano kabisa kati ya mwili na kichwa: macho makubwa, domo pana, pua nene then kamwili sasa baiskeri Duuu......!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…