Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,367
- 100,408
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]Wakati naandika uzi huu, nikajikuta napata picha tangu nikiwa mdogo, nikawa mkubwa Kidogo, nikamaliza masomo, nikapata kazi, nikaoa, nikapata Watoto (siku zote kulikua na mtu nyuma yangu aliyeitwa Mama). Haikua nguvu au akili zangu mwenyewe! View attachment 1070177
You are strong than what you think...
Nilidhani hii hali ipo kwangu tu.Ukishapata msiba wa mzazi/wazazi au hata ndugu wa kuzaliwa pamoja...
Kuna likitu fulani linaingia moyoni kiasi kwamba ukisikia msiba kwa watu wengine, unaona kama kitu cha kawaida sana...
Pole mkuu...!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafkiri na- expirience hii hali mkuuUkishapata msiba wa mzazi/wazazi au hata ndugu wa kuzaliwa pamoja...
Kuna likitu fulani linaingia moyoni kiasi kwamba ukisikia msiba kwa watu wengine, unaona kama kitu cha kawaida sana...
Pole mkuu...!!!
Sent using Jamii Forums mobile app